Pindi Chana hafai kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

Siku hz ccm na serikali yake wameona TISS ndo roho yao, ukienda kwa watendaji kata 70% ni hao hao... Makatibu tarafa ni hao hao, wakuu wa wilaya ni hao hao, makatibu tawala wa wilaya, ni hao hao.. wakuu wa mikoa nao pia...hii yote ni uoga wa kimadaraka tu, inapelekea hata sehemu inayohitaji mtaalamu wa hiyo fani basi anaachwa analetwa kada wa ccm na ambaye ni TISS... Kwahiyo nchi nzima wamejazwa jazwa wao tu hata kama uwezo huo hawana .. na wengi wao kwenye hiyo idara kichwani ni weupe sana, na ndo maana nchi haisogei kimaendeleo.. ni wapigaji na wakifanya ufisadi wanahamishwa hamishwa tu...
 
Kwenye Katiba mpya tumeweka kitu ili kukomesha huu uchafu
 
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.

View attachment 2518743

Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo .

Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi ?

View attachment 2518739
CCM ukisha ingia kundini basi wewe na kizazi chako mtaendelea kuwa kundini, wanaogopa wakikutoa utatoa siri ya hela kupelekwa China.
 
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.

View attachment 2518743

Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo .

Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi ?

View attachment 2518739
Naunga mkono hoja. Pindi Chhana Hana uwezo wa kuwa waziri. Labda arudi kwenye kazi za CCM tu
 
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.

View attachment 2518743

Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo .

Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi ?

View attachment 2518739

Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi.
.....
kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi ?
 
Hafai Wizara yeyote Huwa haeleweki anachofanya akae pembeni tuu.

Na hisi hiyo rangi yake anaitumia Kwa wale walio karibu na Rais
 
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.

View attachment 2518743

Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo.

Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi?

View attachment 2518739
Vigezo vyako vya uwezo wa uwaziri ni vipi?
 
Back
Top Bottom