Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Taarifa nyeti hivyo inatoka alafu Waziri wa Maliasili asiwe na taarifa? Kuna tatizo kubwa sana, au kaona watu wame react negatively, Waziri kageuza kibao.
Magufuli alipokuwa anatumbua mliona hamnazo lakini aliwajua type hii ni majipu.Huyu alikuwa balozi wetu hapo Kenya, Magu alikula kichwa.
 
Insurbordination na pia urefu wa kamba
 
Huyu ni speaker tupu. Hakuna brain hapo. Anaongea sana hata bila kufikiria. Nenda katazame video zake akiwa anaongelea issue ya Ngorongoro. Ndio utajua hakuna mtu hapo.
 
Siyo kwamba hakujua, alijua kabisa kinachoendelea. Sasa kwa sababu issue imebumbuluka ndo maana ameamua kusema hivyo.
Inawezekanaje Waziri mwenye dhamana asijue kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…