Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Taarifa nyeti hivyo inatoka alafu Waziri wa Maliasili asiwe na taarifa? Kuna tatizo kubwa sana, au kaona watu wame react negatively, Waziri kageuza kibao.
Magufuli alipokuwa anatumbua mliona hamnazo lakini aliwajua type hii ni majipu.Huyu alikuwa balozi wetu hapo Kenya, Magu alikula kichwa.
 
Kama ni serikali ktk ministerial level ndio ilisitisha usafirishaji wa wanyama hai 2016 iweje 2022 mkurugenzi wa wanyama pori (idara) atoe kibali cha kusafirisha wanyama hao?

Pamoja na katazo nilitegemea liambatane na kukamatwa wote walio husika na tangazo la kuruhusu.
Insurbordination na pia urefu wa kamba
 
Dogo uamuzi kama huu hufanywa na vikao vizito kuanzia Ikulu hadi wizarani.
Kwahiyo aliyekanusha ni mwehu?
FB_IMG_1654586759295.jpg
 
Huyu ni speaker tupu. Hakuna brain hapo. Anaongea sana hata bila kufikiria. Nenda katazame video zake akiwa anaongelea issue ya Ngorongoro. Ndio utajua hakuna mtu hapo.
 
Siyo kwamba hakujua, alijua kabisa kinachoendelea. Sasa kwa sababu issue imebumbuluka ndo maana ameamua kusema hivyo.
Inawezekanaje Waziri mwenye dhamana asijue kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom