Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili


Acha matusi kijana
 
Uamuzi sahihi
 
Naona kama kuna picha tuna chezewa hapa, mlioko huko wanako pitishwa hawa wanyama muwe macho kutujuza na sisi wa vijijini ili tujue nini kinaendelea huko
 
-Ni insorbonation kama kweli Waziri hakuwa na taarifa ya kuanza kusafitisha viumbe hai nje ya nchi.
-Mhusika wa tukio hili ambalo limeleta taharuki na chuki kwa Serikali ya awamu ya sita, inabidi ajipime na ajitafakari, -Mamlaka ya uteuzi ichukue hatua stahiki,ili kuleta nidhamu kazini.
-Kutochukua hatua zozote,itakuwa Ni ushahidi tosha kuwa Waziri aliarifiwa, lakini amesimamisha utekelezaji kisiasa tu.
 
Ndio maana tunataka katiba mpya haiwezekani mtu mmoja amekaa anasema wanyama wauzwe!hivi zile bilioni 7 za royaltour zilikuwa na malengo gani?Hao wazungu watakuja kufanya nini wakati hao wanyama mnauza kama chupi #kinana
Uwe unafuatilia mambo upate akili, Uliambiwa wanyama wanaouzwa ni Tembo? Umekaririshwa katiba mpya mpaka unadhani itaandika kuhusu kuku
 
Tuliambiwa watendaji Wana nidhamu ya woga

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Tuliambiwa watendaji Wana nidhamu ya woga

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Weka fact hapa sio mambo ya hisia eti kwa vile umemuona Mbowe ikulu
 
Ni vigumu tangazo kama like kusambaa na waziri akose taarifa kamili, wanatuzuga tu hao vigogo.

Naona kelele za mitandaoni zimesikika, japo kuna wakati husema hawafanyii kazi mambo ya mitandaoni.
Kama vile nlisoma pia kuwa kna kiongozi flani wa chama akimtaka huyu mama aachie ngzi, au ni macho yangu?
Tangazo hili limetolewa kw waandishi wa habari, nje ya ofisi!? Je, watendaj wa wizara wanazo hizo habari? Je, ndo mfumo wetu ufanyavo kazi! Kwamba matangazo ya aina hii ndivo yatolewavo! Yaani kwamba aliyetoa ruksa hakua na hiyo mamlaka bali waziri! Yaani, yupi mwenye hayo mamlaka na wananchi tuwe tunasubiri siku ngapi kabla ya kutekeleza maazimio ya aina hii? WaTz ndo tuelewe kuwa hiyo ndo management style ya awamu hii - yaani, kuna wenye mamlaka zaidi ya 1 ktk wizara!? Sisi tumwamini yupi?! Au hapa kuna maslahi fulani binafsi iko kazni?
Halafu watu wakisema wanataka KATIBA MPYA yenye nguvu za kututatulia mambo kama haya mnatafsiri kuwa ni magaidi in action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…