peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kinana kaondoka jioni hii kuelekea Nairobi. Kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni tuu,ni njia ya kukwepa aibuIna maana waziri alikuwa hajapata taarifa kamili kuhusu usafirishaji wa wanyama pori....
Anyway kelele zimesaidia
Ova
Katiba inahusikaje kwenye suala la utendaji. Katiba ni constitution na sio work system au ethics.Ndio maana tunataka katiba mpya haiwezekani mtu mmoja amekaa anasema wanyama wauzwe!hivi zile bilioni 7 za royaltour zilikuwa na malengo gani?Hao wazungu watakuja kufanya nini wakati hao wanyama mnauza kama chupi #kinana
Mbona hakuna Saini ya kamisha wa uhifadhi hapo?Huyu anajua kila kitu
Miulize Waziri mwenye dhamana na wizara hiyoMbona hakuna Saini ya kamisha wa uhifadhi hapo?
Ni wajinga Sana,kama kuna haja ya kuwauza si wanatoka tuu hadharani na kujenga hoja badala ya kuviziana kisenge?Yaani Serikali ilikuwa haina taarifa!!? Basi kuna tatizo kubwa sana!! Wakati Serikali ndio iliyositisha usafirishaji huo mwaka 2016.
Kama jambo hili halina baraka ya Ikulu Basi Rais amfukuze Kazi Kamishna wa Uhifadhi na pia amtake Katiba mkuu wa Maliasili atoe maelezo kwa nini asichukuliwe hatua..Jamani mlio karibu na mheshimiwa Rais, please mwambieni awe mkali kidogo. Ile policy ya nidhamu ya moyoni haifanyi kazi, hawa watumishi wa chini yake wanamharibia.
Kamishna wa Uhifadhi kawekwa na JK , Maza afanyeje? Serikali ina JK ndani yakeNi wajinga Sana,kama kuna haja ya kuwauza si wanatoka tuu hadharani na kujenga hoja badala ya kuviziana kisenge?
Si kweli kama hawajui bali wanafanya usanii, vinginevyo mimi ningekuwa Rais ningemfuta Kazi Kamishna wa Uhifadhi mara moja kwa ujinga huu.
Acha ujinga,hakuna wa kunipangia Kazi Rais..Kamishna wa Uhifadhi kawekwa na JK , Maza afanyeje? Serikali ina JK ndani yake
Hawa wazanzibar mpaka watoke madarakani, tanganyika itakuwa kama matundu ya neti. Kwa huu upuuzi unaoendelea, tumekuwa zaidi ya shamba la Bibi.Pindi Chana: heshimu Jf sana. Unataka kuendesha biashara haramu unasema hujui?
Wanaunda gari na kukuoa bure, alafu wanakuja kukuuzia spea.Ina maana waziri alikuwa hajapata taarifa kamili kuhusu usafirishaji wa wanyama pori....
Anyway kelele zimesaidia.
Kuuza wanyama pori?Sitaki kuamini kwamba Tangazo lilitoka bila Mamlaka kuridhia. Tusifanywe watanzania ni Mazwazwa hapa ni ile anzisha tatizp then litafutie solution kwa lengo la kutengeneza umaarufu!
Kila siku tuamke, nawaambia hivi milele na milele hamtaamka.Nchi inauma sana hii basi tu,lkn ipo siku,huko nyuma tuliambiwa wapo madikteta uchwara,kumbe nimegundua kuwa ni vema kuwa na akiba ya maneno,kinachoendelea huwezi amini kama hawa akina Mbowe na lisu ndio wamegeuka walamba asali sasa sijui tuwaite wapinzani UCHWARA.Watanzania tuamke.
Ni kosa kubwa kuwa na Serikali ya kusikilizia watu wanasemaje mitandaoni..Ni aibu juu ya aibu. Sio kila asali ni ya kulamba.
View attachment 2251543