ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Wewe ndiye mjinga ikiwa unamwamini huyo waziri.Kuna wajinga walitetea uuzwaji wanyama pori nje ya nchi,sijui sasa wanajisikiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye mjinga ikiwa unamwamini huyo waziri.Kuna wajinga walitetea uuzwaji wanyama pori nje ya nchi,sijui sasa wanajisikiaje?
Wanasiasa 😀😀😀Ni aibu juu ya aibu. Sio kila asali ni ya kulamba.
View attachment 2251543
Wamchukulie hatua alie toalile tangazo.Yaani aruhusu yeye na kuzuia yeye afu minyumbu inasifu...teh teh
Aibu yao.Hii nchi bwana sasa taarifa imetoka katika taasisi ambayo ipo chini ya Wizara yake bado wanajikemea wenyewe tena[emoji16][emoji23][emoji23]
Wachen wanasiasa wasio na akil wawaamulie mustakabal wa maisha yenuu.. kwanza wa Tz hamna shukran.. wacha watu wagawane nchiMimi kwa kweli hakuna mnyama ananiumiza moyo wangu kama Twiga nikimuona anasafirishwa kwenda nje ya nchi yangu TZ. Huwa machozi yananitoka kabisa.
Dah hii nchi yangu hii....haya yote sababu ya loyal tour
Ndio hivyo.Dah hii nchi yangu hii....haya yote sababu ya loyal tour
Mimi kwa kweli hakuna mnyama ananiumiza moyo wangu kama Twiga nikimuona anasafirishwa kwenda nje ya nchi yangu TZ. Huwa machozi yananitoka kabisa.
HUYU WAZIRI ALIAMBIWA AJIUZULU NA CHONGOLO JUZIWaziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?