Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ulikuwa unatetea jana hapa?Huyu alitakiwa ashajiuzuru
Tujiulize je kulikuwa na sheria iliyotungwa kuidhinisha usafirishaji wa wanyama Pori nje ya nchi? Kama haipo basi Waziri yupo Sawa.Sheria ndio inatakiwa izuie usafirishaji wa wanyama nje. Sio kauli ya mtu
Magu wanamponda lakini kwa upiuuzi huu angeshapandisha message kabla hatujaandamana mtandaoniHuyu alitakiwa ashajiuzuru
Kinana atazaa nayeWaziri anapima nguvu ya makamu mwenyekiti?
Hawa viumbe lazima nasema ni lazima watanzania tuwaweke kwenye sport lights hasa liz one kabeba dhamana ambayo ni delicate kinoma. Tuwe macho sana sana sana hawa huu ukoo ni shiiiidaEspecisally , Kinana, JK, maza , Riziwani, Nchemba, January na Nape
Bado utanyooka soonUle mpango kweli ulikuwa wa walamba asali, walijaribu kufanya wakidhani watanzania wangekaa kimya bahati nzuri kelele zikawaogopesha, awamu ya wapiga dili hii inabidi kuwa nao makini sana.
Kipi hicho?Kuna watu mwaka 2025 watashangazwaa sana Ndugu zangu
Kuweni na Amani , Mwaka 2025 Kuna Chuma kinakuja
Serikali ya Rais wa katibaSerikali ya ajabu sana hii
View attachment 2251418Waziri Chana ametoa kauli hiyo kufuatia taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni kuwa baadhi ya taasisi zimeanza kusafirisha wanyama hao kwenda nje ya nchi
Akizungumza na wanahabari Jijini Arusha Waziri Chana amesema zoezi la usafirishaji wa wanyama pori nchini limesitishwa mara moja hadi hapo serikali itakapopata taarifa rasmi na serikali kuamua vinginevyo
"Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
Hivi ni asali gani wanalambishwa?Nchi inauma sana hii basi tu,lkn ipo siku,huko nyuma tuliambiwa wapo madikteta uchwara,kumbe nimegundua kuwa ni vema kuwa na akiba ya maneno,kinachoendelea huwezi amini kama hawa akina Mbowe na lisu ndio wamegeuka walamba asali sasa sijui tuwaite wapinzani UCHWARA.Watanzania tuamke.
Sitaki kuamini kwamba Tangazo lilitoka bila Mamlaka kuridhia. Tusifanywe watanzania ni Mazwazwa hapa ni ile anzisha tatizp then litafutie solution kwa lengo la kutengeneza umaarufu!Ni aibu juu ya aibu. Sio kila asali ni ya kulamba.
View attachment 2251543
Kwamba walikuwa hawajui? Huku ni kutojiamini sasaWaziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?