Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Hii nchi bwana sasa taarifa imetoka katika taasisi ambayo ipo chini ya Wizara yake bado wanajikemea wenyewe tena[emoji16][emoji23][emoji23]
Eti tena Taarifa ya NYARAKA muhimu ambazo ni moja ya uti wa mgongo wa uchumi wa Taifa waziri husika alikuwa hajui
 
Mishipa ya aibu imewashika! Wanasubiri right time ipite kimya kimya!
Kama kuna jambo la kujifunza kutokana na utendaji wa mambo ndani ya serikali hii, hili la wanyama pori limefunua kila kitu.
Hii ni sehemu moja tu, sasa fikiria yanayoendelea kwingine kwenye unyeti mkubwa zaidi kwa maslahi ya nchi yetu!

Hawa ni watu wa kuwaamini kuendesha nchi?
 
Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !

Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!

Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana

View attachment 2251487

Chanzo: EATV

N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?

Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Halafu kuna watu eti Legacy ya Magufuli haipo! Uzeni na safirisheni sasa hao wanyama tuone!
 
Mbaya Zaid baada ya kuona kelele zimekuwa nyingi wakatoa na tangazo lingine wakisisitiza wanyama watakaosafirushwa ni wale walioko kwenye mashamba ya ufugaji leo wazir anakana? Hafai kuendelea kuwepo hapo
 
Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !

Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!

Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana

View attachment 2251487

Chanzo: EATV

N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?

Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Jamaniii!
Na wakati kuna watu walijiandaa kukusanya kobe, panya nk. Wakawe vivutio huko maana wanawaharibia mazao yao!
Loh! Ila nchi hii, duh!
 
Yani dunia nzima inapambana kuhifadhi wanyama..kuwaongezea ukubwa wa mbuga ili waendelee kuwepo..kuwalinda na ujangili ili wasije kuisha na kupotea.

Kumbe kuna watu wanaplan za kuuza hao wanyama..viongozi muwe na huruma na maisha ya mwanachi na nchi yetu hii.

Kama wamezidi chinjeni muwauzie watu hizo nyama mabuchani angalau wafaidi maliasili yao.

Kuhusu hilo zuiona naona ni kama kujikosha tu kwani hakuna sheria..sheria zinasemaje kuhusu hili.

Au mnasikiliza upepo.

Tambueni wanachi wasasa wanapata taarifa muda wowote na wanajua kila kinachoendelea huko serikalini.
 
Wameona reaction Ni kubwa wakaaona wajipige biti wenyewee

Serekali ya kipumbafu Sana hi

Nape
Makamba
Chana.
Mwingulu
Na wengine wamewezaje kuuwa ktk serekali Hawa watajwa Hapo juu hawafai kumsadia rais kwa namna yoyote ile waondoke haraka katk serkali
 
Yani dunia nzima inapambana kuhifadhi wanyama..kuwaongezea ukubwa wa mbuga ili waendelee kuwepo..kuwalinda na ujangili ili wasije kuisha na kupotea.

Kumbe kuna watu wanaplan za kuuza hao wanyama..viongozi muwe na huruma na maisha ya mwanachi na nchi yetu hii.

Kama wamezidi chinjeni muwauzie watu hizo nyama mabuchani angalau wafaidi maliasili yao.

Kuhusu hilo zuiona naona ni kama kujikosha tu kwani hakuna sheria..sheria zinasemaje kuhusu hili.

Au mnasikiliza upepo.

Tambueni wanachi wasasa wanapata taarifa muda wowote na wanajua kila kinachoendelea huko serikalini.
Kuna haja ya kuwapata kina Hamza kazaa ktk nchi hi
 
Toka tangazo lilipotoka wameshaondika wangapi?
Wa kutosha hiyo kabla na kabla ya Royal Tour,
Limetoka friday,
Leo limesetishwa.

Malengo mapana ya Royal Tour ni yapi??

Huu ndo upuuzi siukubaligi
 
Ina maana waziri alikuwa hajapata taarifa kamili kuhusu usafirishaji wa wanyama pori....

Anyway kelele zimesaidia

Ova
Eti waziri ameoata tarifa mitandaoni akamua kulitolea maelezo .... hivi hapa tuna waziri kweli ...me nahisi tumepigwa
 
Back
Top Bottom