Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 493
- 1,135
Wakikuzoea hawa wajing@ , Wana kunyea kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahHH
Wanawake wameanza kubuni njia za wizi sasaHuyu anajua kila kitu
Amefunika kombe mwanaharamu apiteHuyu alikuwa na taarifa watauza kimya kimya
Usiwaamni CCM. Mida hii wanamshangilia Waziri, Jana pia walishangilia kusikia lile tangazo.....CCM walisema mitandao haina umuhimu Leo wanakubali foolish
Kumbe walikua washakua parked tayari, maana tangazo limetoka Jana tu. Leo zoezi limesitishwa. Wamesafirishwa wangapi?Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Kinana amemsikia huyu waziri?Wamegeukana hapo itakuwa mbuga nzima imeshasafirishwa