Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiri upi mkuu wakati bei imerangazwa, kama kuna ufisadi mngekwenda kiwandanu mkachukuwe data ili mje kumuumbua JPM.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Jibu swali, hizo fedha zilizo nunulia ndege mmezitoa mfukoni mwenu baada ya kulipwa mishahara au baada ya kuuza pamba yenu kule koromomije?Ufipa huwa mnasema hamna faida ya ndege Tanzania alafu ufipa hao hao ndiyo wa kwanza kuzipanda tuwaeleje?
Wanaoteseka ni hao hapo 👇Kwani unateseka.✌
Hiyo video sijaifungua ...mtandao huko E ila andika kwa maneno
HIVI LISU ANAGOMBEA CHEO GANI HAPA TANZANIA??Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Haipendezi kutetea ujinga kwamba ununuzi wa mali ya thamani kubwa hivyo unafanyika kisiri wakati ununuzi wenyewe, ukaguzi na hatimaye ndege hupokelewa kitaifa.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
..huyo aliyeshika bango yeye amewahi kupanda ndege?
..kwenye ndege ccm mnalazimisha tu, lakini hazina faida kwa mwananchi wa kawaida.
Nasikia hizo ndege kanunua kwa pesa yake mfukoni. Kwa hiyo hawajibiki kwa yeyote kusema kanunua kwa pesa kiasi gani. Kweli jamaa ana huruma na Watanzania masikini ambao sasa na wao watakuwa wanapanda ndege kama daladala.Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?
Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Nani alisema ni hasara kisa riba? Kwanza Leasing ina faida kwenye long run kuliko uweke cash yote mpka ije kubreak even sio leo wala kesho.Apana ndugu, wamebeza ununuzi wa cash, wakitaka serekali ikope na kutoa riba, ili tupate hasara kubwa.
Pia walibeza kuwa watu hawataweza kuzipanda
We naye hauna hoja kabisa kwa kudhani siasa ni zero Sum game kwamba ukisema Rais mwanamke basi hta likiwa zoba zoba as long as ni mwanamke usipinge kisa ulishauri?Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijua
2015, Viongozi wenu walikuwa na nyimbo zao nzuri Sana bungeni, lakini leo mnaziruka tena,
Ni kina Nani waliokuwa wanasema, wanataka kiongozi mwenye udicteta?
Ni kinanani walisema, Wanataka Raisi asiyesafirisafiri kwenda nje?
Ni kina Nani walisema, Tunataka Raisi mkali asiyechekacheka?
Yote hayo mmejifanya hamyakumbuki, kana kwamba hamkusema ninyi
Kina Nani waliokuwa wanadharau nchi Kwa kukosa ndege hata moja? Eti nchi inazidiwa na Rwanda, Ka nchi kadoogo kanatuzidi?
Leo mnakataa tena? Waghosha!!
Ninyi ni malofa na wapumbavu, huwa HAMJUI mnataka nini,
Chama chenu ni cha hovyo Sana na watu wenu wote ni walaghai na makanjanja
Duh mkataba wa manunuzi yaliyofanyika kumbe yako Google mzee, Asante kwa kutufahamishaKampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?
Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
alishawah kusema ndege hiz ni srepa sasa kwanini apandeHuo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Magufuli na wafuasi wake ni mambumbumbu!Hivi hapo kuna hoja mbele ya msomi kweli?Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Jaman watanzania wenzangu tusiwe wapumbavu nanialisema hatopanda ndege asipande yeyesiomtanzania?Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Nani alisema ni hasara kisa riba? Kwanza Leasing ina faida kwenye long run kuliko uweke cash yote mpka ije kubreak even sio leo wala kesho.
Kma kukopa ni hasara mbona SGR mmekopa ili mjenge? Au ni hasara pale tu inaposhauriwa na upinzani?
Huwa nina amini kuwa katika JF wewe zitto junior ni mmoja wanaojenga hoja vizuri. Kwa hili la ununuzi wa ndege unalipinga ukitanguliza maslahi na mtazamo wa kisiasa ulioghubikwa na chuki/fitina.We naye hauna hoja kabisa kwa kudhani siasa ni zero Sum game kwamba ukisema Rais mwanamke basi hta likiwa zoba zoba as long as ni mwanamke usipinge kisa ulishauri?
Waliposema Rais asiyesafiri sio kumaanisha ndio asitoke kabisa bali awe na balance unlike Kikwete, same to kufufua ATCL, kufufua reli etc haimaanishi sasa uwekeze trillion zote huko hadi masuala mengine yakwame.
Sasa ww kwa logic yako eti mtu akishauri mnunue ndege eti ukinunua hata 50 ooh usisemwe kisa ulishauriwa ununue ndege. Hizi extremes mnatoa wapi?
illogical inference
Akishaenda kwenye mtandao ndo hiyo midege itakuwa imenunuliwa kwa mujibu wa sheria ya manunuzi? Na ukaguzi toka kwa CAG ndo utakuwa umefanyika just kwa kuuliza bei toka airbus? Kwanza wewe ulijuaje kuwa ni airbus ndo waliuza ndege kwetu kama hata CAG hajui utaratibu uliotumika?Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?
Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Mkuu unavyochangia ni kana kwamba Tanzania kulikua hakuna ndege kabisa kwamba ATCL zilipokuja ndio usafiri wa anga umeanza!!! Kwani private sector ikitawala sekta ya usafirishaji hku serikali ikiwa regulator tu mnapoteza nini? ..... Well At least mkiwa mnashughulikia more pressing issues kma Kilimo na Mitaji ya vijana?Huwa nina amini kuwa katika JF wewe zitto junior ni mmoja wanaojenga hoja vizuri. Kwa hili la ununuzi wa ndege unalipinga ukitanguliza maslahi na mtazamo wa kisiasa ulioghubikwa na chuki/fitina.
Tanzania ina historia ya ATCL kutumia siyo tu ndege za kukodi na TANESCO mitambo ya kufua umeme. Kitu usichokijua, labda, kama hujajihusisha na kukodi vitu kama hivyo, ni "fixed costs/standing charges". Hizi ni gharama ambazo humlipa mwenye chombo umekifanyia kazi au la. Matokeo yake ndiyo yameyaingiza TANESCO na ATCL kwenye hasara na madeni makubwa.
Labda suala la mjadala ni kama Tanzania tunahitaji kuwa ndege zetu au la, na kwa wakati gani. Kimaendeleo nchi haiwezi kukwepa kuwa na ndege zake ikizingatiwa hazina ya maliasili na utalii.
Wakati gani nchi iwe na ndege zake. Kupanga ni kuchagua. Kwangu mimi huu ndio wakati mwafaka wa kuwa na ndege na meli za abiria na mizigo, tunapojenga uchumi wa viwanda. Kuwepo kwake kutasaidia kusafirisha malighafi na bidhaa za viwanda haraka kuliko kutumia barabara au reli.