mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Mzee aliempa Magufuli jogoo ndie aliebaba lile bango lenye picha ya Zitto ubunifu uliofanyika ni kunyoa nywele tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atcl zinajiendesha kwa hasara ila mnataka Fastjet irudi washamba wakubwa nyie
Uwe unajipitisha hata Airport kusafisha macho uone watu walivyo bize kupanda ndege ,siyo kujifungia Nanjilinji alafu unatangaza ndege hazina faida Tanzania.
Wewe ni limbukeni wa ndege ndiyo maana hujui usemacho, mimi/sisi wapenda maendeleo hatusemi kwamba watu hawapandi ndege na hata kabla ya ndege za Magu watu walipanda ndege au hakukuwa na ndege???.
Tunachosema sisi hakukuwa na uharaka wa kununua ndege wakati kuna vipaumbele vya taifa, pesa hizo zikizonunulia ndege kama zingetumika kujenga barabara zingejengwa kilometa ngapi, watu wangapi na mizigo kiasi gani zingesafirishwa kupitia barabara hizo??? au hujui kuwa kuna mikoa mingine mfano Kigoma nk bado haina barabara muhimu???.
Magu alipata kusema wakati fulani; " "Tunashindwaa na vinchi vidogo kuwa na ndege"--- maana yake ni hii; tumenunua ndege kwasababu tu ya kushindana na hivyo vinchi vidogo sio kwasababu ya mahitaji ya ndege na ndiyo maana hatujui hasara ya uendeshaji wa hizo ndege kwani CAG amezuiliwa kukagua biashara ya hizo ndege.
Halafu unakuja kuleta pumba hapa.🤣🤣
izi akili bado zpo nchi hii?
Huna akiliMATAGA wa kigoma bwana, wanasahau wenye uwezo wa kupanda hizo ndege no watu wa jamii yakina zito lakini yeye Zito aliongea kwa niaba ya wanyonge, wacha waendelea kurushwa kama pepkoni na ma Takbiri ndio wataisoma namba vizuri.
Heri yako ulienazoHuna akili