Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unajua maana ya hasara,au unakariri maneno ya watu humu Jf?..shirika la ndege linaendeshwa kwa hasara, kwa hiyo wananchi wa kawaida hatunufaiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya hasara,au unakariri maneno ya watu humu Jf?..shirika la ndege linaendeshwa kwa hasara, kwa hiyo wananchi wa kawaida hatunufaiki.
Unajua maana ya hasara,au unakariri maneno ya watu humu Jf?
Kisa ni ndege ya masafa marefu ikienda mza kupitia kilimanjaro ni hasara?..dreamliner ni ndege ya masafa marefu, lakini atcl inairusha toka Dar-Kil-Mza.
..huhitaji PhD ya biashara kujua kuwa atcl inaendeshwa kwa HASARA.
Kisa ni ndege ya masafa marefu ikienda mza kupitia kilimanjaro ni hasara?
Hujui mpaka mwaka 2018 Atcl walikuwa wanaingiza Bili 4.5 kwa mwezi? Na ndege sio kama biashara ya maembe uanze kupata faida mara moja. Lazima urudishe gharama kisha uanze kuona faida. Inaweza kuchukua hata miaka sita.
Yaani semi ikibeba mzigo mjini ndio lazima ipate hasara? Je kama inalipwa vizuri? Kwa hiyo hizi semi zinazosambaza cement mjini zinapata hasara? Faida ni gharama kisha toa mauzo. Kama dreamliner ikienda mza na gharama ni ndogo kuliko mapato,utasema hasara?..Ni hasara.
..haina tofauti na semi-trailer inayobeba mzigo mdogo-mdogo mjini, badala ya kubeba mzigo mkubwa na kwenda masafu marefu.
Yaani semi ikibeba mzigo mjini ndio lazima ipate hasara? Je kama inalipwa vizuri? Kwa hiyo hizi semi zinazosambaza cement mjini zinapata hasara? Faida ni gharama kisha toa mauzo. Kama dreamliner ikienda mza na gharama ni ndogo kuliko mapato,utasema hasara?
Wewe ndio hujui unakariri tu ujinga. Kama running cost zikizidi mapato ndio utasema hasara...jibu lako linaonyesha hujui biashara.
..atcl inaendeshwa kwa hasara, na ni mzigo kwa walipa kodi.
Jomba wewe sio mbunge kwanza Sasa habari za bunge unazijuaje..usindandie maneno bila kuwa na uelewa...bungeni Nani kakwambia hawajui gharama halisi za ndege...Sasa serikali imenunuaje bila idhini ya bunge..Kama hamjui jinsi mifumo hii inavyofanya kazi kaeni kimyaaaa...shutup your mouth and shutdown and lockup..vema ukauliza ukaambiwa mama...umechemshaHuo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,
Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Jomba wewe sio mbunge kwanza Sasa habari za bunge unazijuaje..usindandie maneno bila kuwa na uelewa...bungeni Nani kakwambia hawajui gharama halisi za ndege...Sasa serikali imenunuaje bila idhini ya bunge..Kama hamjui jinsi mifumo hii inavyofanya kazi kaeni kimyaaaa...shutup your mouth and shutdown and lockup..vema ukauliza ukaambiwa mama...umechemsha
UKIONA MTU KAPANDA ROLI, UJUE AMERITHIKA. MBONA WEWE MWANA UFIPA HUJAPANDA?Onesha malori yaliyowasomba hao watu
Na fiesta ya wasanii
Kazi yenu si kutoka bungeni..na kususia, embu ulizia ofisi za bunge Hilo suala kama hawajakupa details zitakazokushangaza..kuweni makini na bunge kwani hiyo ndio kazi mlioimba kwa wananchi..1--Ununuzi wa ndege ulijadiliwa bungeni katika hotuba ya makadirio na matumizi ya wizara gani na kilikuwa kikao gani cha bunge na ndege ngapi zilipangwa kununuliwa??
2---Gharama za Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato zipo katika hotuba ya bunge ya makadirio na matumizi ya wizara gani na katika kikao gani cha bunge ??!.
Kumbuka hizo ni fedha za umma, ni fedha zetu tunahitaji kujua, otherwise you better keep mum lest you don't expose your stupor publicly.
kabisa yan...Siasa mchezo mchafu, naamini huyo jamaa ni wa system kaandaliwa na bango lake lile
Nani khanithi atawaambia watu wachague mpinzani wake unless km kuna agreement.Watu wengi huwa wanaelewa kile wanachokiwaza wao.
Wewe ulitegemea awaambie muwachague wapinzani wake?
Halafu wakishachaguliwa na kufika bungeni kazi iwe ileile kusisia na kutoka nje ya bunge badala ya kuwasilisha mahitaji ya wananchi wao? Halafu wananchi wasubiri rais akipita ndio wamdai maendeleo ambayo wawakilishi wao walitakiwa kuyafanyia kazi?
Rais anafanya kadri ya mtazamo wake kwa ngazi ya taifa, vile vilivyo mitaani wawakilishi wanatakiwa kuvijumuisha na kuwakilisha ili vifanyiwe kazi. Na ndio maana hata viongozi wa upinzani wanamshukuru kwamba hana ubaguzi, wacheck viongozi wako hapo chini👇
View attachment 1574183
Hilo la kudhalilisha wanawake mnalifanya nyie kwa tafsiri zenu wanaotaka na sio rais Magufuli ambae makamu wake ni mwanamke.
Ifike mahala tutofautishe siasa za kistaarabu na ujanjaujanja wa kutaka madaraka
Tanzania ina wananchi wa aina zote ,wasio wa kawaida na wa kawaida.
Kazi yenu si kutoka bungeni..na kususia, embu ulizia ofisi za bunge Hilo suala kama hawajakupa details zitakazokushangaza..kuweni makini na bunge kwani hiyo ndio kazi mlioimba kwa wananchi..
KLeo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwen
Nani khanithi atawaambia watu wachague mpinzani wake unless km kuna agreement.
Wewe huoni tatizo hapo kuwatisha kuwa deprive watu of their rights to development just because umekua raisi na hawakukupigia kura.
Kama unaona hili si tatizo na uanaendekeza uchama utakua unawekwa mjini kwa kutetea lolote lile liwe baya liwe zuri. Yawezekana kodi ya nyumba unayokaa buzi la upande huo ndio linakulipia. Hivyo itakua pointless kwa mm kukubishia wewe.
Na km udhalilishaji wa nyie wanawake hujauona hata mara moja baasi mama D endelea kutetea ugali mama. Watoto wasijewakalala njaa. Do whatever you can watoto wapishane chooni lkn siku ikija ikiwa wewe ndio mtendwa au watoto wako Hapo ndipo utaamka. Kwa sasa chumia tumbo na familia yako mama. Uwe ukiomba karma isiguse wewe na kizazi chako kabla hamjarud mavumbini.
AsanteeeeeeeeePoleee