TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Yes, nimeona hicho kitu mkuu.Sasa kati ya zitto na mwananchi wa vijijini huko kigoma nani mwenye Akili timamu? huyo Magufuli Anapoteza mda kuchapisha hilo bango
Mwananchi gani mwenye akili zake akatie pesa kufanya graphic design na kulipa pesa za kuprint bango moja?, Hapo kuna kitu kimepandwa kwa huyo mzee wa watu pasipo yeye kujua.
Akija kushtuka muda umepita na atapaniki baada ya uchaguzi.