Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Mbuzi leo wamegoma kuchagua vitu vya ajabu ajabu,bado binadamu wachache wamebaki
 
Usiri upi mkuu wakati bei imerangazwa, kama kuna ufisadi mngekwenda kiwandanu mkachukuwe data ili mje kumuumbua JPM.
Kusubiri bunge imgeongeza gharama za manunuzi...bei ya ndege plus vikao vya bunge maana hata kama bunge lingejadili bado bei ingekuwa hiyo hiyo
 
Ufipa huwa mnasema hamna faida ya ndege Tanzania alafu ufipa hao hao ndiyo wa kwanza kuzipanda tuwaeleje?
Jibu swali, hizo fedha zilizo nunulia ndege mmezitoa mfukoni mwenu baada ya kulipwa mishahara au baada ya kuuza pamba yenu kule koromomije?

Hizo ni kodi za watanzania wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIVI LISU ANAGOMBEA CHEO GANI HAPA TANZANIA??
YAAAN KWA HALI ILIVYO, MFANO KABISA MKOA WAKIGOMA, AMBAO NDO MKOA WENYE MSIMAMO NAMBA MOJA TANZANIA, KWAJINSI WALIVOMPOKEA MAGUFULI AMBAYE NI MWANACCM, HII NI ISHARA BWANA LISU NI HELI AOMBE APEWE UKUU WA WILAYA.
 
Haipendezi kutetea ujinga kwamba ununuzi wa mali ya thamani kubwa hivyo unafanyika kisiri wakati ununuzi wenyewe, ukaguzi na hatimaye ndege hupokelewa kitaifa.

Hata kama ni chuki na fitina zifanyike kwa kiwango ambacho akili imetumika. Kulalamika tu kama watoto. AIBU
 
Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?

Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Nasikia hizo ndege kanunua kwa pesa yake mfukoni. Kwa hiyo hawajibiki kwa yeyote kusema kanunua kwa pesa kiasi gani. Kweli jamaa ana huruma na Watanzania masikini ambao sasa na wao watakuwa wanapanda ndege kama daladala.
 
Apana ndugu, wamebeza ununuzi wa cash, wakitaka serekali ikope na kutoa riba, ili tupate hasara kubwa.

Pia walibeza kuwa watu hawataweza kuzipanda
Nani alisema ni hasara kisa riba? Kwanza Leasing ina faida kwenye long run kuliko uweke cash yote mpka ije kubreak even sio leo wala kesho.

Kama kukopa ni hasara mbona SGR mmekopa ili mjenge? Au ni hasara pale tu inaposhauriwa na upinzani?
 
We naye hauna hoja kabisa kwa kudhani siasa ni zero Sum game kwamba ukisema Rais mwanamke basi hta likiwa zoba zoba as long as ni mwanamke usipinge kisa ulishauri?

Waliposema Rais asiyesafiri sio kumaanisha ndio asitoke kabisa bali awe na balance unlike Kikwete, same to kufufua ATCL, kufufua reli etc haimaanishi sasa uwekeze trillion zote huko hadi masuala mengine yakwame.

Sasa ww kwa logic yako eti mtu akishauri mnunue ndege eti ukinunua hata 50 ooh usisemwe kisa ulishauriwa ununue ndege. Hizi extremes mnatoa wapi?

illogical inference
 
Faded waberoya!!
Sasa huyo mtoto anajua hata maana ya viability in Leasing or buying option? Anajua opportunity cost kama pesa za bombardier zingeelekezwa kwenye kutoa mikopo kwa vijana wasio na ajira? Anajua hiyo break even ya pesa iliyowekezwa itarudi lini au anadhani faida inahesabiwa siku ya kwanza?

Funny
 
Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?

Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Duh mkataba wa manunuzi yaliyofanyika kumbe yako Google mzee, Asante kwa kutufahamisha

Ova
 
alishawah kusema ndege hiz ni srepa sasa kwanini apande
 
Magufuli na wafuasi wake ni mambumbumbu!Hivi hapo kuna hoja mbele ya msomi kweli?
 
Huo ni ushamba na utoto.
Ngoja niweke ufafanuzi hapa.

1/Ndege zimekuwepo hapa Tanzania kabla ya uhuru na hata kabla ya Magufuli kuingia madarakani na wapo watanzania wengi walioweza kuzipanda. Hivyo hakuna ajabu Zitto kuonekana anapanda ndege sasa.

2/Zitto amekuwa akipanda ndege mara kwa mara kwa zaidi ya miaka 15 sasa. Hivyo hakuna ajabu Zitto kuonekana anapanda ndege sasa.

3/Kabla ya Magufuli kununua ndege, safari za ndege zilikuwepo hapa Tanzania na Zitto alikuwa akipanda. Hivyo hakuna ajabu Zitto kuonekana anapanda ndege sasa.

4/Zitto ametoa pesa zake kupanda ndege, hakupanda bure. Safari za ndege ni suala la biashara, na Zitto amepanda ndege kama mteja. Tusilazimishe itikadi za kisiasa kuingilia biashara.

5/Zitto na wapinzani wengine wanakosoa ununuzi holela wa ndege uliofanywa na Magufuli kwa pesa za umma kwa hoja kuwa hauna tija kibiashara(biashara kichaa), haukufuata taratibu za kisheria na umezungukwa na harufu ya ufisadi. Hizo ndio hoja zinazopaswa kujibiwa.
 
Jaman watanzania wenzangu tusiwe wapumbavu nanialisema hatopanda ndege asipande yeyesiomtanzania?
Tunatoka njeyamada kilichokuwa kinapigiwa kelele siokupanda ndege kinachopigiwa kelele niwewe mnyonge ndege haikusaidii wao wakinazito uwezowanao tungezisifu ndege iwapo ambaowanapanda niwalala hoi kama wangejaa mulendani yandege lakini hata hivo wakinazito inabidi wapande ndio zimekwisha nunuliwa wakiacha hasara inazidi kwani hatawao nikodiyao siowanapanda kwakuunga mkono
 
Nani alisema ni hasara kisa riba? Kwanza Leasing ina faida kwenye long run kuliko uweke cash yote mpka ije kubreak even sio leo wala kesho.

Kma kukopa ni hasara mbona SGR mmekopa ili mjenge? Au ni hasara pale tu inaposhauriwa na upinzani?
Huwa nina amini kuwa katika JF wewe zitto junior ni mmoja wanaojenga hoja vizuri. Kwa hili la ununuzi wa ndege unalipinga ukitanguliza maslahi na mtazamo wa kisiasa ulioghubikwa na chuki/fitina.

Tanzania ina historia ya ATCL kutumia siyo tu ndege za kukodi na TANESCO mitambo ya kufua umeme. Kitu usichokijua, labda, kama hujajihusisha na kukodi vitu kama hivyo, ni "fixed costs/standing charges". Hizi ni gharama ambazo humlipa mwenye chombo umekifanyia kazi au la. Matokeo yake ndiyo yameyaingiza TANESCO na ATCL kwenye hasara na madeni makubwa.

Labda suala la mjadala ni kama Tanzania tunahitaji kuwa ndege zetu au la, na kwa wakati gani. Kimaendeleo nchi haiwezi kukwepa kuwa na ndege zake ikizingatiwa hazina ya maliasili na utalii.

Wakati gani nchi iwe na ndege zake. Kupanga ni kuchagua. Kwangu mimi huu ndio wakati mwafaka wa kuwa na ndege na meli za abiria na mizigo, tunapojenga uchumi wa viwanda. Kuwepo kwake kutasaidia kusafirisha malighafi na bidhaa za viwanda haraka kuliko kutumia barabara au reli.
 
Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?

Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Akishaenda kwenye mtandao ndo hiyo midege itakuwa imenunuliwa kwa mujibu wa sheria ya manunuzi? Na ukaguzi toka kwa CAG ndo utakuwa umefanyika just kwa kuuliza bei toka airbus? Kwanza wewe ulijuaje kuwa ni airbus ndo waliuza ndege kwetu kama hata CAG hajui utaratibu uliotumika?
 
Mkuu unavyochangia ni kana kwamba Tanzania kulikua hakuna ndege kabisa kwamba ATCL zilipokuja ndio usafiri wa anga umeanza!!! Kwani private sector ikitawala sekta ya usafirishaji hku serikali ikiwa regulator tu mnapoteza nini? ..... Well At least mkiwa mnashughulikia more pressing issues kma Kilimo na Mitaji ya vijana?

Hoja ya kuwa na national carrier ni nzuri lakini biashara ya ndege ni tricky sio kma faida ni overnight tu maana running costs zipo juu sana na nchi yetu haina middle class kubwa kivile kushibisha hzi ndege.

Kuhusu leasing ww una generalize kuwa ni mfumo mbaya bila kueleza model ipi hyo yenye shida. Ni sawa na kusema Usafiri wa baharini ni hatari sababu tu Mv Bukoba ilizama. Unapoangalia hofu ya hizo standing charges mbona huangalii faida kwa capital allowances ama liquidity kwa kampuni hasa inayonyanyuka kutoka kitandani? Inakua pia biased analysis (Assuming unanirekebisha biasness ya maoni yangu while unarudia kile kile)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…