Wewe ni limbukeni wa ndege ndiyo maana hujui usemacho, mimi/sisi wapenda maendeleo hatusemi kwamba watu hawapandi ndege na hata kabla ya ndege za Magu watu walipanda ndege au hakukuwa na ndege???.
Tunachosema sisi hakukuwa na uharaka wa kununua ndege wakati kuna vipaumbele vya taifa, pesa hizo zikizonunulia ndege kama zingetumika kujenga barabara zingejengwa kilometa ngapi, watu wangapi na mizigo kiasi gani zingesafirishwa kupitia barabara hizo??? au hujui kuwa kuna mikoa mingine mfano Kigoma nk bado haina barabara muhimu???.
Magu alipata kusema wakati fulani; " "Tunashindwaa na vinchi vidogo kuwa na ndege"--- maana yake ni hii; tumenunua ndege kwasababu tu ya kushindana na hivyo vinchi vidogo sio kwasababu ya mahitaji ya ndege na ndiyo maana hatujui hasara ya uendeshaji wa hizo ndege kwani CAG amezuiliwa kukagua biashara ya hizo ndege.
Halafu unakuja kuleta pumba hapa.🤣🤣