Pini kali zote za jf ni YANGA

Pini kali zote za jf ni YANGA

Kweli Mr Tecno hunitakii mema badala uniombee nizidi kudumu miaka 100 we unawazia nikiachika lol.

Hivi jana ulikwenda Uwanjani?
Mama Samsung umesahau ule msemo wa Adui muombee njaa ?
 
Yaan man u kapigwa,madrid droo,yanga droo khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man U mpaka Mourinho ang'oke pale mkuu ndo nafuu itapatikana. Usicheze na mgomo wa wachezaji.
 
Ewaaaaa! Sahihi kabisa. Halafu ni timu yenye vilaza wengi na wachawi wengi sana. Ukitaka kuligundua hili angalia kitaani unapokaa, wazee wote wanaotajika kwa uchawi ukiuliza timu yao utajibiwa ni Yanga.
Kama kuna kaukweli fulani hivi wapata 80%
 
Back
Top Bottom