Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Baba Tecno na wewe hujui kwamba ushachelewa kuunganisha undugu?inabidi nije nikuoe sasa tuunganishe Undugu wa kampuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Baba Tecno na wewe hujui kwamba ushachelewa kuunganisha undugu?inabidi nije nikuoe sasa tuunganishe Undugu wa kampuni
Kuna usafiri wa kukuleta Swahiba, ntaazima ile chopa ya Jamaa yangu kigwaOooh. Ahsante sana.
Kitendo cha kutoka huku Namnyamba mpaka kufika huko nitakuwa nishachelewa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaaaa. Lol.Kuna usafiri wa kukuleta Swahiba, ntaazima ile chopa ya Jamaa yangu kigwa
Napafaham Namnyamba, Ni pale karibu na soko au mzambarauni?Hahahaaaa. Lol.
😂😂😂😂😂 hapana.Napafaham Namnyamba, Ni pale karibu na soko au mzambarauni?
Naweza pata fursa ukiachikaHahahaaa. Baba Tecno na wewe hujui kwamba ushachelewa kuunganisha undugu?
Kweli Mr Tecno hunitakii mema badala uniombee nizidi kudumu miaka 100 we unawazia nikiachika lol.Naweza pata fursa ukiachika
Mama Samsung umesahau ule msemo wa Adui muombee njaa ?Kweli Mr Tecno hunitakii mema badala uniombee nizidi kudumu miaka 100 we unawazia nikiachika lol.
Hivi jana ulikwenda Uwanjani?
Hahahaaaa. Hiyo tuwaombeage tu Simba banaa.Mama Samsung umesahau ule msemo wa Adui muombee njaa ?
Unanibania tuHahahaaaa. Hiyo tuwaombeage tu Simba banaa.
Man U mpaka Mourinho ang'oke pale mkuu ndo nafuu itapatikana. Usicheze na mgomo wa wachezaji.Yaan man u kapigwa,madrid droo,yanga droo khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mpaka jamaa jirani wanashangaa. Looh!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] ndukii
Kama kuna kaukweli fulani hivi wapata 80%Ewaaaaa! Sahihi kabisa. Halafu ni timu yenye vilaza wengi na wachawi wengi sana. Ukitaka kuligundua hili angalia kitaani unapokaa, wazee wote wanaotajika kwa uchawi ukiuliza timu yao utajibiwa ni Yanga.
Hahaha, mtani ungejua usingesemaHahahaaa. Mtani hivi kuhama timu ni kazi rahisi eee?
Karibu Yanga Mtani.
Ahsante, nimekaribiaKaribu sana mkuu
Tuko pamoja, mie Yanga kuanzia LeoKaribu sana mnywaji mwenzangu
ShuhudiaView attachment VID-20181001-WA0004.mp4Ewaaaaa! Sahihi kabisa. Halafu ni timu yenye vilaza wengi na wachawi wengi sana. Ukitaka kuligundua hili angalia kitaani unapokaa, wazee wote wanaotajika kwa uchawi ukiuliza timu yao utajibiwa ni Yanga.
Hahahaaa. Ningejua nini?Hahaha, mtani ungejua usingesema Ahsante, nimekaribia
Huyu nani?Huyu katajwa hapo juu...View attachment 882456