Pipi kifua kuuzwa Tsh 1000

Wanaume tunazidi kupungua aisee!...

Ukiona mwanaume anahangaika na manjonjo yote hayo mara pipi mara energy!...

Ujue safari yake ni mzee wa nauli ya kwenda tu.. hana ya kurudia... Go&return!.... Nauli ya kurudi ni mpaka abustiwe!

Lamba lamba mwisho unalamba visivyolambika! Kuambulia kaswende ya mdomo... (SWENDEMOUTH)

Basi domo muda wote kama si kunuka! Litakaa kama mpuliza tarumbeta wa msondo!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daah sasa pakiti zima si ulimi utachubuka... Au ndo mmesema mna tumia kivingine
Hujakuwa bado faza nini?? Zinasaidia sana kukata kichefuchefu cha mimba changa na mate kujaa mdomoni kwa mama kijacho.

Pia ukinunua kitu leo, haimaanishi unatakiwa kula hapo hapo kiishe… kuna kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…