Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,134
- 7,573
Huo ndio mzuri ukila unaenda kupambana na vimelea vya magonjwaUpo ule wa porini ni mchungu balaaa
Huo ndio mzuri ukila unaenda kupambana na vimelea vya magonjwaUpo ule wa porini ni mchungu balaaa
Kumbe Mwachiluwi ni mchaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wewe ni mchaga huo mnafu umeujulia wapi
Hapna ase mnyakiKumbe Mwachiluwi ni mchaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umewaza nini? 😂😂😂😂Mwanaume anayependa kupika pika hua nina wasiwasi nae
Mnafu mbona nimefanya ivyo juu soma vzrDagaa nyasa, ulipika vizuri, ila ulipotia Nazi ndo ukaharibu kabisa.
Mnafu ndo ilibidi uuchemshe na umwagishe maji ili kuondoa sumu na uchachu, then ndo uweke hivyo viungo vyako.
Dagaa nyasa sahivi ni madafu, ko ni kukaanga na mafuta tyuuh.
Kwanini?Sitaki mtoto wangu wa kiume ajue kupika, akake mahotelini ili ajue umuhimu wa kitafuta hela na kuoa.
Sijui ngoja tuone 😂Ila mkuu utaoa kwel kwa namna hii?
Hapana mm nyakyusa boyHivi wewe ni mchaga huo mnafu umeujulia wapi
Oooh bas sawa.Mnafu mbona nimefanya ivyo juu soma vzr
tununu😂😂Hapna ase mnyaki
Wa mjini 😂tununu😂😂
Hahaha inabidi ufanya mpango ujifunze lugha yako mamaWa mjini 😂
Watu wakunifundish wapo wapi 😂Hahaha inabidi ufanya mpango ujifunze lugha yako mama
Kwa maneno haya huna nia ya kutaka kujifunzaWatu wakunifundish wapo wapi 😂
Nita leen soonKwa maneno haya huna nia ya kutaka kujifunza
Mnyaki🧐🧐imekuwaje ukajua kupika hivo maana wanyaki wanaume kupika😃😃😃😃Hapna ase mnyaki
Achana na habari ya kuoa wewe, kupika unajua na kwa kujua kupika huko bila Shaka pia wewe ni msafi Sana, mke wa nini sasa (KATAA NDOA😃😃)Sijui ngoja tuone 😂
Aweke mkazo kwenye kutafuta hela na Kuoa.Kwanini?