mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,260
- 5,778
Hapana mkuu, naogopa kuunguaKaribu nikufundishe
Hapana mkuu, naogopa kuunguaKaribu nikufundishe
Ili uje umtese mwezio Tena mm namsikitikia ivyo humu mtu atakiw kuijua siri yako😹😹😹 Ning’ate sikio, hayo ndio mambo ninayoyapenda sasa Mwachi, em ning’ate sikio bathiiii 😜
Huwezi kuungua una unguajeHapana mkuu, naogopa kuungua
Nimtese namjua? 😹😹Ili uje umtese mwezio Tena mm namsikitikia ivyo humu mtu atakiw kuijua siri yako
Ila wewNimtese namjua? 😹😹
Lete ubuyu full acha uoga nawe.!!
Nakusubiri pm 😹Ila wew
Kwa macho utaujuaje?Omba usikutane nao
Ngoja nitengeneze half cakeNakusubiri pm 😹
Wa porin unakuwa mgumu mgumu hivi ila wa nyumban mlain kama huwezi kuujua basi ukiwa unapika mnavu anza kuuchemsha na kumwaga majiKwa macho utaujuaje?
Andaa na juice fresh ya mango 😋Ngoja nitengeneze half cake
Na passion sioAndaa na juice fresh ya mango 😋
Ewaahhh.!! 😋😋😍Na passion sio
Ipo kabisa haiwezi kosekanaJuice???
Umetudanganya mkuu wewe utakuwa mpishi mkubwa somewhere bila shaka