PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

Sitaki mtoto wangu wa kiume ajue kupika, akake mahotelini ili ajue umuhimu wa kitafuta hela na kuoa.
 
Dagaa nyasa, ulipika vizuri, ila ulipotia Nazi ndo ukaharibu kabisa.

Mnafu ndo ilibidi uuchemshe na umwagishe maji ili kuondoa sumu na uchachu, then ndo uweke hivyo viungo vyako.

Dagaa nyasa sahivi ni madafu, ko ni kukaanga na mafuta tyuuh.
 
Mnafu mbona nimefanya ivyo juu soma vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…