Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Siwez bila wewe si shibiUsiache kuniita kulaπ
Sawa sawa π πSiwez bila wewe si shibi
Sasa usichelewSawa sawa π π
Nachelewaje kula tena aisee πSasa usichelew
Sipendi mnafu,
Naelewa huwezi chelewaNachelewaje kula tena aisee π
UhakikaNaelewa huwezi chelewa
Haqa dagaa bila ivyo hutoboiSipendi mnafu,
Sipendi dagaa waliotiwa nazi.
Leo nikija kwako sitokula.
Kuna vitu vingi sana vya kupenda so ni uchaguziMwanaume anayependa kupika pika hua nina wasiwasi nae
Jina langu linasadifu na utanga? πOy dogo we ni mwanaume wa Tanga nini?
Bureee kabisaMaisha ni haya haya kwani shi ngapi ππ π
Acha basiKuna kipindi enzi mwigulu ametumbuliwa na jiwe tulikua tunakula nae sana mnafu pale Dodoma.
Bibi yangu mbona alikua anawapika na nyanya tu na wananogaHaqa dagaa bila ivyo hutoboi
Nakuja na pilipili πBureee kabisa
Mimi bila nazi sielewi kitu πBibi yangu mbona alikua anawapika na nyanya tu na wananoga