Hellow
Leo nikapata dagaa nyasa wangoni nipo tayari kunikosoa kama nimepika sivyo
Kwanza mimi nikawatoa vichwa dagaa
View attachment 3282960
Kisha nika waweka jikoni kuwachemsha kwanza lazima uwachemshe vinginevyo huwezi kula
View attachment 3282961
Baada ya kuchemsha kwa mda nikawaipua na kuwa weka kwenye chombo
View attachment 3282962
Baada ya hapo nikaweka sufuria jikon nikaweka mafuta baada ya kupata moto nika weka dagaa kuwakaanga
View attachment 3282964Baada ya kuona wapo vizuri nikaweka kitunguu sasa
View attachment 3282965Baada ya hapo nikaweka karoti na hoho
View attachment 3282967Nika mix bay yas 😂 ili viende sambamba nikaweka nyanya nilio isaga
View attachment 3282969
Nika mix tena ika iva uzuri nikaongeza maji kidogo ili nipate mchuzi
View attachment 3282970
Vikatokota nikaweka nazi sasa baada ya kuona mchuzi umekuwa vizuri
View attachment 3282971
Baada ya kutia nazi ikachemka vizuri nikaipua
View attachment 3282973
Tuje kwenye mnafu uku
Kwanza niliuchambua vizuri tu na nikaukatakata vizuri
View attachment 3282975
Baada ya hapo nikauosha nikaweka maji kwaajili ya kuuchemsha kwanza nika weka jikoni
View attachment 3282976
Baada ya kuchemka nikachuja maji kisha nikauweka tena jikoni ni kwasababu mchungu usipo fanya hivi hii mboga ukuli 😂
View attachment 3282977
Baada ya hapo nikaweka sufuri jikoni na mafuta kisha nikaweka karoti na kitunguu maji
View attachment 3282978
Nika mix by yas kisha nikaweka nyanya
View attachment 3282979
Baada ya nyanya kuiva nikaweka mnafu
View attachment 3282980
Nika mix vizuri kisha nikaweka nazi si lazima
View attachment 3282981
Nikaichanganya nazi vizuri nikahakikisha imekolea haswaa 😂
View attachment 3282982
Baada ya hapo nikawa nimemaliza. Imebaki kazi moja tu kusonga ugali na nitasonga saa moja na nusu njaa ikikolea
Song la wangoni
🎶 eti nyumba ya baba usilete hawala nyumba ya baba usilete hawala kujibanabana aheeeee ……………..