PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

Acha kudeka huo mnafu usinge mwaga maji yake ungekula hivyo hivyo
 
Dkk 45 za Nguvu 😅😅😅😅 kipindi kitafuatiliwa kama kile kipindi watu waliambiwa wahamie Burundi 😅😅😅
Uzuri unajua kujiongeza 😂
 
Hawa dagaa. Kila nikitafuta napewa wa kigoma. Hawa wanauzwaje hapo kwa bei ya kitalii🤣🤣
 
Back
Top Bottom