PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

Unawezaje kupikapika namna hii na huu muda unautoa wapi?? Aisee I wish ningekuwa najua kupika kama wewe ila ndo hivyo tena hapo hiyo dagaa ingejaa mchuzi kama iko baharini
Majukumu tunatofautiana pia nimejifunza mda tangu utoto
 
Mnao weka karoti kwenye dagaa muwe mnatumia akili...najua kuna wapumbavu watakuja kichwa kichwa kunipinga nawasubiri niwaumbue.๐Ÿ˜
 
Sema wadau wengi naona wanashangaa mwana kupika namna hii.


Ila mimi binafsi kinachonishinda ni biriani kwa kuwa sijaifanyia kazi kwa sababu ya muda na aina ya kazi ninayofanya kwa sasa.

Kazi nilizowahi kuzifanya miaka iliyopita ni ilikuwa lazima ujue kujipikia na mazingira unayokwenda unakuta ni vijijini haswaa sehemu za kula hakuna na lazima mmoja wenu aingie jikoni na tunapeana zamu leo huyu kesho wewe.

Usisahau siku moja upike ugali wa muhogo na uyoga mkuu na ukitag ukipika, wiki ijayo nawatembelea ndugu zangu wangoni huko songea sijui nitaukuta uyoga๐Ÿ˜‹
 
Mimi birian shida ni moja tu vitunguu kuunguza kule nikila lazima niendeshe nisha acha kabisa kula birian
 
Halafu unaweza kuta dada yake Mwachiluwi, anapika pika tu bora iive, life bana
Ulijuaje ๐Ÿ˜‚ tukiendaga likizo akitaka kupika na mwambia dada pumzika mimi nipo kumbe na sababu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ