PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

Tanzania kilimo na biashara ya karoti inaendeshwa kipumbavu karoti azijawekwa kwenye makundi hata kachumbali ya chips kuna kosa kwenye karoti ...kwenye mapishi ni lazima ujue kuna karoti tamu na karoti chungu ...karoti tamu yenye sukari ni kosa kuitumia kwenye dagaa au kachumbali tatizo nchi yetu tunauza karoti bila ya kuzi group tamu na chungu
 
Tatizo lingine ni kununua hayo mazagazaga ya kupika, niende sokoni nianze kununua hivyo viungo mnvyotumia kupika aisee sitaweza
Una kitu kichwani kwako na hiko kikwazo
 
Wanakuwa na minyoo warefu wale tapeworms.
Niliwahi kuwaona ziwani wakiwa wabichi, Wana kaharufu flan na kama wnaateleza flan tokea hapo sijawahi kuwapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…