Sisi kwetu huo mchungu unapatikana nkisitu au mmasyeto. Ni mchungu tofauti na kuwapandwa nyumbaniKuna mnavu mchungu na mpole. Huo mchungu ni mchungu haswaaa bila kuuchemsha labda uwe mzoefu wa vichungu. Unakua kama umetiwa nyongo
Hao dagaa fresh wa nyasa niliwala sana Ng'ombo walinikera minyooMimi binafsi sipendelei
Hayo majina. So, wa kupanda nyumbani na wa msituni upi mchungu sana.Sisi kwetu huo mchungu unapatikana nkisitu au mmasyeto. Ni mchungu tofauti na kuwapandwa nyumbani
Zipodagaa nyasa bila ya ndimu/limao chumvi na pilipili?
UjakoseaKuna mnavu mchungu na mpole. Huo mchungu ni mchungu haswaaa bila kuuchemsha labda uwe mzoefu wa vichungu. Unakua kama umetiwa nyongo
Ahaha wakiwa wabichiHao dagaa fresh wa nyasa niliwala sana Ng'ombo walinikera minyoo
Inakuwaje mbona unajua kupika hivi mkuu!Hapana na sijasomea mapishi
Nan kasemaUgali usiku nasikia sio mzuri kwa afya. Wewe kula tu hizo mboga ukalale. Zimekamilika
Hongera mkuu,
Ajipange kweli mm chakula kikiwa kibay naongeaHongera mkuu,
Nadhani mkeo anatakiwa kuwa vizuri, la sivyo hali yake itakuwa mbaya🤣
Walikuwa wanaungwa ila minyoo ilikuwa inabakiAhaha wakiwa wabichi
SIkufahamu hilo, bora nimejua😃. Sijawahi kukutana naoKuna mnavu mchungu na mpole. Huo mchungu ni mchungu haswaaa bila kuuchemsha labda uwe mzoefu wa vichungu. Unakua kama umetiwa nyongo
Ahahah ipo isiyo na pilipiliMi situmii pilipili mkuu
Mh lazima ukinai na uboekeWalikuwa wanaungwa ila minyoo ilikuwa inabaki
Omba usikutane naoSIkufahamu hilo, bora nimejua😃. Sijawahi kukutana nao