Pishi la Biriani

Ha ha haaaaa. Mbavu zangu jamani. Unataka mwalimu awepo apo apo
 
Nimetoka kunua viungo sasa hivi. Nimesha plan kesho tena napika biriani. Mchele upo ndani last week nlinunua kilo 5 so najaribu tena kesho mchana. This time napunguza maumivu so ntatumia nyama ya ng'ombe tena nusu tu. Sikupata jibu but sikati tamaa.
 
jamani dia rangi nyeusi utakuwa uliweka rangi ya kijanii nyingi yaani ikawa dark,afu giligilani kata ile miti majani yake yatwange kwenye kinu cha vitunguu swaumu yalainike pia kuhusu royco utakapoweka curry powder dondoshea kiduchu just pima sihoo pakti aaaaa ndo maana ikatokea ladha ya pilipili sababu viungo ulizidisha jamaniiii afu my dia kuhusu karoti na hoho ukiweka acha vichemke kidogo viive siyo unaweka na kutoa unaweza toa karot moja kuonja.please jitahidi uwe makini kupima viungo mie kusema nikwambie utumie kiasi gani siwezi sababu si mzuri kwenye vipimo mi napimaga kwa macho na vitu vinatokolezea
 
afu mtindi mzuriiii sana kwa rosti la biriani bibie bila mtindi rosti halijakamilika basi usiweke mwingi sana yaani nimecheka na kusikitika pia chakula kizuriii kwako kimetoka ndivyo sivyo taratibu my dia utakuwa mpishi mzuri wa biriani
Nimetoka kunua viungo sasa hivi. Nimesha plan kesho tena napika biriani. Mchele upo ndani last week nlinunua kilo 5 so najaribu tena kesho mchana. This time napunguza maumivu so ntatumia nyama ya ng'ombe tena nusu tu. Sikupata jibu but sikati tamaa.
 
Peace maandalizi yameanza muda si mrefu ntaanza kukata kata vitunguu. Ntawapa feedback nkimaliza. Mamembers wa JF wooote nawahalika chakula cha mchana kwangu. Njooni Mje mle Birianiiiiiiiii huku.
 
Peace maandalizi yameanza muda si mrefu ntaanza kukata kata vitunguu. Ntawapa feedback nkimaliza. Mamembers wa JF wooote nawahalika chakula cha mchana kwangu. Njooni Mje mle Birianiiiiiiiii huku.

jamani dia mbona hujaleta majibu umejiramba vidole au?
 
jamani dia mbona hujaleta majibu umejiramba vidole au?

Samahaani kwa kuchelewa kujibu, Kwa upande wa wali nliweza sana tatizo tu rangi nliweka kiuoga sana hivyo nyeupe ilitawala sana lakini kulikuwa na punje chache sana za ragi nyingine kama kijani na red. Kiufupi hapa nkiongeza tu rangi wali utatoka vizuri.

Upande wa mchuzi dahhhh majanga tu yalijirudia na kiufupi upishi wangu wa biriani umeishia tarehe 28 sep (Jumamosi). Safari hii nimeongea na wifi yenu aje anipikie yeye home, ingawa yeye hajui lakini kaona maelekezo ya amu kasema ataweza. Hivyo na mimi ntajifunza kwake akiwa anapika. Najua ataweza tu na atanifundisha so wish me luck.
 
Last edited by a moderator:

daaah hongera kumbe wewe ni me kwanza nimefurahi mwanaume kujifunza kupika biriani mtandaoni
 
Last edited by a moderator:
daaah hongera kumbe wewe ni me kwanza nimefurahi mwanaume kujifunza kupika biriani mtandaoni

Yep, I'm male and that probably explains everything and how i messed up so much
 
Yep, I'm male and that probably explains everything and how i messed up so much

now i got the point why you put so much viungo but you are such amazing!!i really want to help you and wifi kama wifi atakuwa na swali nipm ntapata n otification ya pm via email asap wish you guys all the luck
 
Me370 kama nakuona uliweka rangi kijani nusu kopo maviungo ukatia yote daaaaaa umencheksha ila ndo kujifunza afu unajua jinsi yako matatizo kupika
 
Last edited by a moderator:

hahahhaa, duh, imebidi tu niifufue hii thread maana nimesoma nikacheka sana, kaka mimi ni mgonjwa wa chapati, lakini zilishanishinda vibaya mno, vipi hili zoezi uliimprove kidogo mkuu?! naona dada amu alikupa moyo sana!
 
aaa chapati kandia mafuta ya maji ya kawaida tu ya baridi(usiyapashe),weka na chumvi kwenye kukanda kandia mtindi na yai moja.
changannya dakila chache autimatic mlainiiiiii.
ha ha napika hapa chapati kwa kukusms mpaka nimeunguza lol
 
Last edited by a moderator:
nimrsahau kabla hujakata matonge eeka kwa friji dakika kama kumi hivi
 
aaa chapati kandia mafuta ya maji ya kawaida tu ya baridi(usiyapashe),weka na chumvi kwenye kukanda kandia mtindi na yai moja.
changannya dakila chache autimatic mlainiiiiii.
ha ha napika hapa chapati kwa kukusms mpaka nimeunguza lol
Loh, mkuu nimekula tuition ya kutosha kutoka kwa mkuu farkhina lakini kila nikijaribu kitu kinatoka kigumu kama sahani ya plastic, I guess ntahitaji placticla lau ya sku mbili nipate sehem ya kujiattach nisaidie kazi za jikoni weekend moja, maana navozpenda chapati lakini naskitika zenyewe haznipendi!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana unga uliukanda vizuri lakini ukawa laini
 
Last edited by a moderator:
SWALI: Hivi "recipes" zenu hizi zimehakikiwa na TFDA au hata TBS na Mkemia Mkuu wa Serikali ? au mnatulisha sumu bila sisi kujua ....!? Kama hamtanipa jibu la kuridhisha,.... ....mwakani nagombea Ubunge...na kazi ya kwanza nitakayoifanya nikuhakikisha ...kunakuwepo na Chef Registration Board(ChRB) ambayo kwa kushirikiana na TFDA watakuwa wanahakiki na kudhibitisha utalaamu wa Wapishi(Chefs), vyuo vinavyotoa mafunzo ya upishi, na kupitia recipes zote kuona kama hazina madhara kwa mlaji na kadhalika na kadhalika..... Hasa kwenye recipes ChRB ikishirikiana na TFDA itahakiki recipe zote za mapishi ya makabila mbalimbali hapa nchini na kuzirasimisha.....hii ni kwa kuanzia katika kuipangia kazi kwa ChRB. Hivyo tafadhali nahitaji majibu ya kuridhisha katika swali langu la msingi. =TUJITEGEMEE.
 
Yanimkuu Nilikuwa Darasani Kabisa Kalamu Nakaratasi Vilikuwa Mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…