Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Wengine majeuri hiyo kesi ungefuta wewe mbona..!! 😹😹😹

Halafu katika vitu siogopi mtu kunitishia uchawi au kujifanya yeye serikali yake tutakesha..!!
Iko hivi, sifa zote hizo mbovu za shari kiuhalisia sikuwa nazo na hata leo ila zile zilikuwa ni plan tu namna ya kumnasa.

Yaani kubembeleza na kuhonga nd'o chaguo la kwanza, alafu mbinu zingine halali na haramu zinafuata baada ya kuona hii adhimu ikibhuma.

Huwaga ni ligi mkuu, unishinde ama nikushinde, lakini kwangu mimi ushindi huwa ni lazima.

Ujue nini, baadaye tukishasatle kuna furaha flani inakuja mnapoanza kumbushana stori za yaliyopita kwa kuulizana maswali ilikuwaje, mnajikuta tu mkifurahi zaidi.

Ninajua usipogangamala katika hatua za mwanzo, mtu unayempenda humpati hata kama anakupenda.

Sasa si mimi huyo nilifanikisha kwa ujanja huo na nikaona nikomeshee kwa kuoa kabisa, maana alivyokuwa na matusi na kashifa huyo msichana enzi hizo, wewe ukasome mkuu.
 
πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ€£ baada ya kushindwa kula pishi lake nikammwagia lawama yeye mwenyewe kwamba ananiroga ili nimshindwe kwa hiyo tutaona!

Akapanic na kuanza kujiapiza kuwa akiamungu siyo yeye, wakati huo mimi mwenyewe nikijitathimini kimoyomoyo imekuwaje hii?

Kukamia ni kubaya , eti fikra zangu niliziprogram kuwa kula chakula cha mwenye maringo na mtukanaji kwa rough ni kumkomeshq!

Baadaye nilikuja kuprove wrong, kwamba mbwembwe zako zote mtu uwezavyo kufanya, hazitoi maumivu katika jambo hilo kwa mlengwa bali humstarehesha na pia hauwezi kushindana na ulipotoka kisha ukashinda!
 
Hapo ulipenda hakukua na kukomesha!!

Halafu mbona mi situkani kiongozi πŸ˜₯
Utakua umenifananisha 😹

Nwei, Kwahiyo mpaka sasa hivi unaendelea kubembeleza na kuhonga? 😜😹
 

Hapo ulipenda hakukua na kukomesha!!

Halafu mbona mi situkani kiongozi πŸ˜₯
Utakua umenifananisha 😹

Nwei, Kwahiyo mpaka sasa hivi unaendelea kubembeleza na kuhonga? 😜😹
Hutukani mkuu, lakini kwa comments zako hizo, mtu akija kichwa kichwa bila plan 'B' anakimbia, mungu tena.

Sasa mie nishafundwa kwamba mwanamke 'mgumu' ndomwenyewe wa kuchagua, nd'omali.

Kijana usipende mwanamke 'mlaini' utaambulia 'chawote'.

Ninajua mwanamke hata kama anakupenda lazima akutolee nje ili akutathimini.

Sasa hapo kwenye 'elimu' hiyo ndiyo mabinti wengi hujikuta wakiwatusi na kuwakashifu 'clients wao.

Kuhusu 'kuangukia', nd'ozangu hizo.

Sasa na uzee huu wadhani nani atanitetea kama siyo mali zangu mwenyewe?

Kuwadi wangu na mshenga wangu ni fedha zangu.

Mi siyo kimwaga kiviiile lakini, isipokuwa napokuwa nataka kujifurahisha kwa mambo hayo ninatengeneza bajeti yake ya burudani ili kuweza kulitekeleza jambo hilo kwa ufanisi.

Ni sawa na kumtoa out tu ma'msap, gharama zinahusika.
 
Mim ninazo za kulombea tu mama antpass, kama angekuwa anapiga show mbovu hapo sawa ila amesema ameikamia kaichakata mpaka mshangaz haujielew
Ila jamani hizi dawa za kutulombea sana za nini, mnataka muwe mnatufanya sana ili iweje ?
 
Ila una visa πŸ˜‚ kuna karaha kanakujaga kuona mtu aliyekukamia anashindwa mambo, hii ya kupanic au kumwaga fasta huwa inatokea.
Baadaye nilikuja kuprove wrong, kwamba mbwembwe zako zote mtu uwezavyo kufanya, hazitoi maumivu katika jambo hilo kwa mlengwa bali humstarehesha na pia hauwezi kushindana na ulipotoka kisha ukashinda!
Kwahiyo ulivyoshindwa ukamuoa au binti maringo alikunogea, kitumbua kitamu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…