Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Siyo poa kabisa, sijajua kwa nyinyi wanawake mkiambia muache labda mnaweza.Ule utamu, acha tu unaweza ukajiapiza kuacha ila ukikiona kitumbua mbele yako, huchomoi.
Uongo nao π€¦ββοΈ
Haa haaaaa, unataka unikamate kwenye udhaifu wangu nishindwe kukutolea povu πHalafu hay yanaongeleka najua ukiwa juu unaride huwa Unaweza kuongea hata kwa uchache kwahiyo tutayamalizia hapo
Ni kweli subir waje wakupe story nzimaUongo nao
Sauti unayotoaga muda huo ndiyo huwa naielewa kwa asilimia Mia Kwahiyo itakuwa rahisi kulijadili hili sualaHaa haaaaa, unataka unikamate kwenye udhaifu wangu nishindwe kukutolea povu
Hakuna mtu anasindikizwa honeymoon, maana huko ndiyo pa kulombeana na kutengeneza first born. Kwani nyie Mallerina na dosho12 imekuwaje, mbona huyu anawatumia kama kisingizio.Ni kweli subir waje wakupe story nzima
Umeanza kunilainisha, sitaki!Sauti unayotoaga muda huo ndiyo huwa naielewa kwa asilimia Mia Kwahiyo itakuwa rahisi kulijadili hili suala
Kwan nimesema nimeingia nao ndani mimi niliwapeleka na gari nikawaachaHakuna mtu anasindikizwa honeymoon, maana huko ndiyo pa kulombeana na kutengeneza first born. Kwani nyie @Mallerina na @dosho12 imekuwaje, mbona huyu anawatumia kama kisingizio.
Usitake kujikaza wakati we mlaini hebu nipe kitumbua nimemiss vimafuta mafutaUmeanza kunilainisha, sitaki
Kwahiyo hizo siku nyingine ukaenda wapi?Kwan nimesema nimeingia nao ndani mimi niliwapeleka na gari nikawaacha
Kama mlaini nilegeze tuone πUsitake kujikaza wakati we mlaini hebu nipe kitumbua nimemiss vimafuta mafuta
Si ndiyo nikarud ukawa tyr umemindKwahiyo hizo siku nyingine ukaenda wapi?
Niwape watu mbinu wajue unalainika kwa wapi acha masikhara binti π€¨Kama mlaini nilegeze tuone π
Najua lazima umtetee jamaa yako.Alitupeleka tu sehemu husika kisha akaondoka π
Hizi kazi zilikuwa za Muimba SINGELI ila ndiyo hivyo kabaki peke ake inabdi anitetee mdogo wake π π πAmejaribu kauongo ila siyo asili yake, usimfunze tabia mbaya.
π πSi ndiyo nikarud ukawa tyr umemind
Mmmh yani weweNiwape watu mbinu wajue unalainika kwa wapi acha masikhara binti π€¨
Hivi amepotelea wapi ex wa Mary?Hizi kazi zilikuwa za Muimba SINGELI ila ndiyo hivyo kabaki peke ake inabdi anitetee mdogo wake π π π
Aliniaga analog off kwa muda naona mpaka sasa ni kimyaHivi amepotelea wapi ex wa Mary?
Kuna nini sema unachotaka nikupe πMmmh yani wewe
Nataka kulishwa βΊοΈKuna nini sema unachotaka nikupe π
Nini hiyo honey nikupe πNataka kulishwa βΊοΈ
Mkataba gani naheshimu ndoa yenu πππmkataba bado upo π
Sikubal kwa Hal hii acha niendelee kuilaani arsenal mpaka Ashuk pale juu πππnisamehe ndugu yangu