Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Angalizo: Sihitaji ushauri wa kiafya kuhusu kuchelewa kula; Asante!

CC: Harmful , makaveli10 , secretarybird
Mkuu ninyi wasomi ni watu wa kuogopwa kama ukoma.

Twaweza katisha usingizi kuanza kujadili mambo ya mapishi ya vitumbua hapa, kumbe likawa ni shairi umetunga na kulitupia kilingeni waerevu wajifurahishe, maana andishi lako limepita 'mulemule' dadeki!

Ukiwa umetufanyia hivyo mi takulaumu sana.

Mungu vile.
 
Nmekiomba tangu sa4 usiku huu, mbaka sasa bila bila...
 
Manano mengi, jibu swali la msingi: Vipi leo umekula kitumbua cha moto moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…