Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Umetukatili kuishia njiani, hebu malizia nini kiliendeleaπŸ˜…



Ila wanaume mnapitia misukosuko 🀣🀣🀣 yani hadi ukamtengenezea kesi mdada wa watu na akakupa kitumbua ukashindwa kukila.

Ila nahisi alikuvumilia na kukutunzia heshima yako mpaka ukamuoa.
 
Wengine majeuri hiyo kesi ungefuta wewe mbona..!! 😹😹😹

Halafu katika vitu siogopi mtu kunitishia uchawi au kujifanya yeye serikali yake tutakesha..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…