Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Unaonekana decent sana tu mkuu. Sema labda sisi wanaume ndiyo vipofu, au may be hujajiamini kwamba wewe ni "wifey"ππDah thank you mkuu, but why unanibishia wife material π am not kabisa
Aisee ahsante mkuu kama wanihisi wifey, mimi najiona mshamba mmoja hiviπUnaonekana decent sana tu mkuu. Sema labda sisi wanaume ndiyo vipofu, au may be hujajiamini kwamba wewe ni "wifey"ππ
Mimi mwenyewe nikiwa mkubwa natamani nipate mtu kama financial services ili hata nikienda kwa wakwe zake wanisifie kidogo.
πππ Dont be negative mkuu. Fanya hivi chukua karatasi na kalamu, andika vitu vyote vizuri ama unavyopenda kuhusu wewe. Ukiamka asubuhi soma vitu hivyo, na tukio hilo liwe endelevu, kila siku. Halafu after three weeks spend a little time on your mirror utaamini ninachokwambia. Tatizo unaona kama namwaga sera... Hahahaha...Aisee ahsante mkuu kama wanihisi wifey, mimi najiona mshamba mmoja hiviπ
Uwe na chura afu uwe na mbinumbinu za kuomba ya kutumiwa na ya kutoleaHivi hadi mtu umuite pisi kali inabidi awe na sifa zipi wakuu?
Maada ni kitu chochote chenye uzito, ujazo na kinachochukua nafasi...Changia maada acha mbwembwe
Nilishalifungulia uzi hilo swali humu, nikaambulia "like"tu.Hivi hadi mtu umuite pisi kali inabidi awe na sifa zipi wakuu?
Lugha ya picha inahitajika zaidi kwenye eneo hili.Anayevaa kiatu mwisho size 38.
Uwe mweupe flan na kipotabo, sio mkondefu. Bila kusahau katako mbinuko Kwa mbali.
Huwezi kuonja sumu kwa kuilambaπ waulize waliooa pisi kali kisha mipunga ikakata wakupe ushuhuda!Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo:
1. Pisi Kali wengi hawaolewi
2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa
3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila ndoa za kueleweka.
Sasa kama wewe ni pisi kali na unajitambua kwanini usiolewe na mwanaume anaeleweka na ukaish kwa heshima? Badala yake mnaishia kuzarishwa na kubaki kuuza migahawa na kuwa bar maid.
Nawakaribisha njooni tuchangie mawazo juu ya hili suala. Ukifanya uchunguzi utaona kwamba Mama Ntilie weng ni wanawake wazuri kimuonekano lakini tunashangaa kwanini hawako kwenye ndoa, badala yake wameishia kuzarishwa tu.
Karibuni wadau
Angalia avatar yako pisi kali ni dizain kama hiyoHivi hadi mtu umuite pisi kali inabidi awe na sifa zipi wakuu?
Bibi analalamika huko unakimbia sala ya asubuhi.Uwe na chura afu uwe na mbinumbinu za kuomba ya kutumiwa na ya kutolea
Ndo ukweli.Duh type hii wapo mitaani na tunakutana na ninyi so sad