Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

Dah thank you mkuu, but why unanibishia wife material 😂 am not kabisa
Unaonekana decent sana tu mkuu. Sema labda sisi wanaume ndiyo vipofu, au may be hujajiamini kwamba wewe ni "wifey"😂😂
Mimi mwenyewe nikiwa mkubwa natamani nipate mtu kama financial services ili hata nikienda kwa wakwe zake wanisifie kidogo.
 
Unaonekana decent sana tu mkuu. Sema labda sisi wanaume ndiyo vipofu, au may be hujajiamini kwamba wewe ni "wifey"😂😂
Mimi mwenyewe nikiwa mkubwa natamani nipate mtu kama financial services ili hata nikienda kwa wakwe zake wanisifie kidogo.
Aisee ahsante mkuu kama wanihisi wifey, mimi najiona mshamba mmoja hivi😂
 
Aisee ahsante mkuu kama wanihisi wifey, mimi najiona mshamba mmoja hivi😂
😂😂😂 Dont be negative mkuu. Fanya hivi chukua karatasi na kalamu, andika vitu vyote vizuri ama unavyopenda kuhusu wewe. Ukiamka asubuhi soma vitu hivyo, na tukio hilo liwe endelevu, kila siku. Halafu after three weeks spend a little time on your mirror utaamini ninachokwambia. Tatizo unaona kama namwaga sera... Hahahaha...
 
Nnae pisi kali mmoja kila nikiwa nagegeda anataka nimwage nje,

sasa juzi juzi hapa namgegeda nikimuangalia usoni anavyolalamika nazidi kupata mzuka kimoyo moyo nikajisemea leo nakuachia wazungu kama mimba ibebe tu

Nikamwagia ndani alilalamika sana kwa nini nimemwagia ndani wakati alishanionya yupo kwenye siku hatari
Sa hv namsikilizia tu maana alishaapa haji tena ghetto kunipa mzigo
 
Hivi hadi mtu umuite pisi kali inabidi awe na sifa zipi wakuu?
Nilishalifungulia uzi hilo swali humu, nikaambulia "like"tu.
Inavyoonekana sio nyinyi wanawake wenyewe wala sisi wanaume tunaotambua sifa na vigezo anavyopaswa kuwa navyo mwanamke ili awe "Pisikali" tuseme tu kila mwanamke ni pisi kali kwa mwanaume ampendae.
 
Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo:

1. Pisi Kali wengi hawaolewi
2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa
3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila ndoa za kueleweka.

Sasa kama wewe ni pisi kali na unajitambua kwanini usiolewe na mwanaume anaeleweka na ukaish kwa heshima? Badala yake mnaishia kuzarishwa na kubaki kuuza migahawa na kuwa bar maid.

Nawakaribisha njooni tuchangie mawazo juu ya hili suala. Ukifanya uchunguzi utaona kwamba Mama Ntilie weng ni wanawake wazuri kimuonekano lakini tunashangaa kwanini hawako kwenye ndoa, badala yake wameishia kuzarishwa tu.

Karibuni wadau
Huwezi kuonja sumu kwa kuilamba😅 waulize waliooa pisi kali kisha mipunga ikakata wakupe ushuhuda!
 
Pisi kali kabla hatujaikojolea.. tukishusha wazungu na simu hatupokei.

Kuoa... Kama mjumbe wa kamati ya wanaume wa hovyo. Kwenye katiba yetu ya chama hatuna kifungu hicho.
Ni uongo
 
Mleta mada natumae ulipata miongozo kutoka kwa pisi kali...
 
Back
Top Bottom