Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

Mtandaonet

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
15
Reaction score
24
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
 
Hivi nitakua nimezima gesi kwel🤔
1747416060401.jpg
 
Wengi mnaokuja humu na nyuzi kama hiz ni kukosa hela ndio kunawaathiri.

Mbaya zaid mahitaj madem wa kuwalipa elfu 10 then mnasema pisi kali?
Vijana wadogo tuwasamehe tu vichululu vyao ndio vimeanza simama juzi tu ,hivyo tusiwalaumu sana bwashee
 
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Wewe wasubiri watoto wa chuo hapo Amuzz tu. Vyuo vyote vitatu hauwezi toka kapa.
 
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Kama hakuna si uende kwenye pisi kali za kwenu?
 
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Kaa Kila Kona unawataka sio? Ukimw upo kumbk
 
Ngojea hapo gate la KCMC wapo Aunt zangu kibao, pisi kali tena rangi ya mke wa mtume
HIZO NAZIJUA VIZURII.....UNA ISALIMIA. MAMBO VIPI .......INAKUJIBU...IN SHORT FORM........HI

KIINGEREZA KINGI....
 
UkiiTAKA NENDA MAENEO TA STAREHE KAMA KWENYE BAR ZA RED STONE IPO LAMI YA ARUSHA , MIMIZ , AMUZ IPO JIRANI NA KCMC CHUO........HUKO MTAAANI UTACHOKA TUUU
 
Wapo wengi..nyuma ya hosipitali upande wa kushoto wanakolala wagonjwa ambao wameshapona maumivu na kupata pumziko la milele. Kachague pale,wana muda wa kutosha kuspend nawe..utanishukuru
 
Back
Top Bottom