Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

Moshi sio mahala pazuri pa kula bata viwanja vinavyosifika havizidi vitatu redstone, amuzi, hugoz na ile mpya sijui nalasco yaani ni kuzunguka humo humo kujichoresha tu pisi mbovu mbovu tu
 
Mkuu ulisoma tangazo la yohana trump? Take care
 
NOLASCO DOWNHAPO
AMUZ
MIMS
AU NJOO LAS VEGAS HAPA NKUSHKISHE MTOTO WA MOCU
 
Tho ungetembelea kule chuoni au mtaani kule kcmc maduka ya chini na juu fanya kama unafanya detour ukikosa kitu ambacho najua ni ngumu, kuna local bar kcmc maduka chini & juu pisi zimejaa kumwajika hopefully hauna jiko
Nenda kwa Mama Devota mjini!
 
Back
Top Bottom