Mtandaonet
Member
- Feb 4, 2015
- 15
- 24
Vijana wadogo tuwasamehe tu vichululu vyao ndio vimeanza simama juzi tu ,hivyo tusiwalaumu sana bwasheeWengi mnaokuja humu na nyuzi kama hiz ni kukosa hela ndio kunawaathiri.
Mbaya zaid mahitaj madem wa kuwalipa elfu 10 then mnasema pisi kali?
Nipo Connection basi 🤣😂😂Ngojea hapo gate la KCMC wapo Aunt zangu kibao, pisi kali tena rangi ya mke wa mtume
Hela unayo ya matumizi nikulink na toto la hapo MUCOBS?Nipo Connection basi 🤣😂😂
Wewe wasubiri watoto wa chuo hapo Amuzz tu. Vyuo vyote vitatu hauwezi toka kapa.Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Kama hakuna si uende kwenye pisi kali za kwenu?Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Hela ipo😂Hela unayo ya matumizi nikulink na toto la hapo MUCOBS?
Nenda mimiz&redstone kama hela ya savana ipo utaopoa wako.
Nikupe namba upambane nayo huko ila elewa anapenda kibunda na hapo ndipo utakapomnasa.Hela ipo😂
Kaa Kila Kona unawataka sio? Ukimw upo kumbkWakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
HIZO NAZIJUA VIZURII.....UNA ISALIMIA. MAMBO VIPI .......INAKUJIBU...IN SHORT FORM........HINgojea hapo gate la KCMC wapo Aunt zangu kibao, pisi kali tena rangi ya mke wa mtume
Haswaaaa, watoto wanajifungia sana, halafu ni kamji kadogo sana aiseeeMji wa kipuuzi huo