Pisi kali mnavyoninyanyapaa kwani mnadhani nina uwezo wa kujiumba mwenyewe?

Pisi kali mnavyoninyanyapaa kwani mnadhani nina uwezo wa kujiumba mwenyewe?

marashi ya pwani

Senior Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
120
Reaction score
132
Kuna siku nilikuwa pub flan nishakura ngorondo zangu kiasi namanisha kilevi Cha bei rahisi

Kikanipa confidence ya kuongea na msichana sijui mwana mama kifupi PISI KARI

Kwakuwa nilikuwa na vitu kichwani yaani ilikuwa full confidence

Nilikuwa na uwezo wa kuongea hata na mtoto wa mboe

Nikakutana na PISI moja nikaongea nae yeye kalewa nami nimeliwa kifupi tumeelewana

Kwakuwa bajeti imefomea nikawa mpole wa kwanza kuweka AHADI mie

Siku ya AHADI Kila mtu mtakatifu no alico kichwani

Mimi nimemuelewa kama unavyojua asilimia kubwa wanaume ni wadhaifu kwa wanawake

Shida kwake Kona Kona kwa Kila ninacho muagizia sababu haziishi mara chipsi imeungua

Mara nyama imekaushwa sana full Kila sababu

Mwisho akaja kuliza unajua siku Ile nililewa co sikukuangalia vizur

Haijarishi vile unanihudumia muonekano wako tatizo tafuta wa kulingana nayo sio mimi
 
Back
Top Bottom