Pisi kali - Nini maana yake?

Pisi kali - Nini maana yake?

Nakumbuka kuna group la makahaba nililiona huko telegram lilikua limepewa jina la pisi Kali , sasa sijui ndio maana ya pisi , hebu teuleweshane kidogo
 
Kuna maana ya kiswahili ya Pisi Kali ikimaanisha kuwa ni mwanamke anaejiuza na anaishi maisha ya kutegemea, means uzuri wake ndiyo mtaji wake !/

Msemaji akamalizia kwa kusema sio sifa nzuri kumuita mtu unae mheshimu pisi kali maana ni tusi.
 
Zamani waliitwa changudoa, wakapunguzwa makali hadi wadangaji, saizi pisi Kali....( Wadada wasio na kazi mjini) zao ni kujiweka tu kwa wanaume wakilenga kipato..Ila wale wenye kazi na wapambanaji sikuizi wanaitwa MALIKIA WA NGUVU.
 
View attachment 1634069
Maana ya pisi kali [emoji115][emoji115][emoji115]

Kuna ambacho hakipo wazi hapo niongeze nyama?
Wengi wa wanaojiita pisi kali mara nyingi line zao zote mbili huwa zinatumika. Sasa nyinyi wanadada wenye heshima zenu endeleeni kujiita pisi kali, ila mkiombwa Kwa mpalange msikasirike tu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]


Pisi kali = Ni umalaya uliochangamka (Yaani umalaya wa kisasa)
Line 1 = mbele tu
Line 2 = nyuma pia
Line zote = 1&2

Wakati mwingine hutumika neno miguu
Mguu mmoja = mbele tu
Miguu yote = mbele na nyuma
AU
Wakati mwingine hutumika neno milango
Mlango wa mbele uko wazi = mbele tu
Mlango wa nyuma uko wazi = nyuma pia
Milango yote iko wazi = Anatumia kote.

Mjumbe hauwawi
[emoji119][emoji119]
 
We ulifata nini huko kama ulikuwa hutafuti pisi kali
Hapa hatuongelei kutafuta pisi Kali , tunongelea nini maana ya pisi Kali ,sasa kuna ajabu gani mwanaume kutafuta mwanamke ,
Ukiona mwanaume hana time na wanawake ujue huyo anamatatizo au sio riziki kabisa
 
Mwanamke akiwa na mahusiano na tajiri anaitwa pisi Kali

Mwanamke akiwa na mahusiano na wenye kipato cha kati anaitwa mdangaji

Mwanamke akiwa na mahusiano na masikini anaitwa Malaya

Hapo kazi kwako kuelewa
Mwanamke yeyote anayetoa penzi lake kwa makubaliano ya kupewa pesa huyo ni malaya bila kujali anafanya hiyo biashara na mwenye pesa nyingi, za kati au kidogo
 
Back
Top Bottom