Pisi kali - Nini maana yake?

Pisi kali - Nini maana yake?

Pisi kali limetokana na neno DIME PIECE ni American Slang ya Demu Mkali.....Pisi ni neno la zamani sana sema limepata kiki 2020.

Neno limeanza kutumika zamani sana miaka ya 2000s.

Nick Cannon alishawahi kutoa wimbo Mwaka 2006 Unaoitwa - Dime Piece ,Kwa American Slang ,Dime pia ni Demu mkali ,Dime pia ni mmea(Bangi) kwahiyo Dimepeace-PISI - Demu mkali.

PIECE.jpg


 
Back
Top Bottom