Pisi kali - Nini maana yake?

Pisi kali - Nini maana yake?

Wengine tuishie kusikia na kuona tuuh hizo pisi Kali tujikite na upambanaji tuuh
 
Kuna sehem nimepita nikasikia kijana anamuita mdada eti "pisi kama pisi"
Basi mzee mie nikaanza kuangaza ili nione hicho kipande ama kipisi alichobeba yule mwali hata sikuona kitu.....🧐🧐
😂😂😂😂
 
Mimi...Ni pisi kali...Sihitaji outside validation...nikijiangalia najiona PISI KALI...
NAJIPENDA VIBAYA MNO...

Mwenyezi MUNGU kaniumba viZuri Sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Hongera.
Wengine hawataki kuitwa Pisi kali. Eti ni kuwadhalilisha.
 
Mimi...Ni pisi kali...Sihitaji outside validation...nikijiangalia najiona PISI KALI...
NAJIPENDA VIBAYA MNO...

Mwenyezi MUNGU kaniumba viZuri Sana[emoji16][emoji16][emoji16]
weka picha
 
Nothing! Kwavile umeamua kujiita hivyo ukubaliane na wanayoyafanya hao wanaoitwa pisi kali.
Kwani pisi Kali SI msichana mrembo...au Kuna kingine Zaid ya msichana mrembo..

Mi navyojua pisi Kali inanasibishwa na urembo....AU WEWE UNAJUAJE?
 
Kwani pisi Kali SI msichana mrembo...au Kuna kingine Zaid ya msichana mrembo..

Mi navyojua pisi Kali inanasibishwa na urembo....AU WEWE UNAJUAJE?
Haina haja ya kulumbana, kuitana pisi kali ni umalaya uliochangamka.
 
Back
Top Bottom