Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

Sio pisi kali tu, ni kawaida mwanadamu yoyote kukuchukulia poa ukijitoa sana kwake
 
Kila siku nawaambia vijana mwanamke unaewajibika kumuhudia ni mke ambaye mnaishi pamoja kama familia, hakuna mwanaume mwenye jukumu la kumuhudumia girfriend/kahaba/mdangaji naishia kuambiwa "tafuta hela". Vijana wamekua malimbukeni wa K wakati hazina maajabu yoyote matokeo yake ndio haya sasa kuonekana mazoba
 
Pole bro tafuta wa saizi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…