Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ndio unajua Leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio pisi kali tu, ni kawaida mwanadamu yoyote kukuchukulia poa ukijitoa sana kwakeNawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?
Tembea uone vichekesho.
Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
NAKAZIA [emoji419][emoji375]Sio pisi kali tu, ni kawaida mwanadamu yoyote kukuchukulia poa ukijitoa sana kwake
Kijijini hakuna mambo mengi 😛😊
Huko hakuna binadamu wenye mambo mengi...Kijijini hakuna mambo mengi 😛😊
🕺🕺🕺😁Huko hakuna binadamu wenye mambo mengi...
Achana na mademu hawana issue. Wstakuumiza hadi ujute kupenda pendaPisi za mjini kaka
HahahPole ndoukubwa
Yaah ndivyo ilivyo.Ukiwa bado unajitafuta usiweke kambi ya kudumu kwa ke anaekutegemea kwa kila kitu, utakuwa unamtafutia yeye na mbaya zaidi akipata atakaemzuzua anakuacha.
Pole bro tafuta wa saizi yako.Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?
Tembea uone vichekesho.
Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
SawaPole bro tafuta wa saizi yako.