Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?
Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.
Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.
Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.
[emoji38][emoji38]😀😀hakuna shida, utaifurahia sana
Lindi moja hiyo, bongo artists ndio hupenda kwenda huko kufanya mafekecheeNgende tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona glass tuUnataka picha ya nini? Hata hivyo hawezi kukuwekea
Ukitaka kujua kidogo, check my avatar
Nimeona glass tu paleAngalia avatar ya Kantri [emoji85]
Inatosha.Nimeona glass tu
Lindi moja hiyo, bongo artists ndio hupenda kwenda huko kufanya mafekechee
Hawaachiki kirahisi, wanajua kung'ang'ania sana 😀Kwa hyo dada angu umemuacha?
Nimeona glass tu pale
Inatosha.
Inawezekana ndio upo hapa mezani kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo glass ndio mimi
Kitu gani kinachosababisha matatizo ya afya ya akili?Matatizo ya Afya ya Akili yapo kwenye jamii zetu.
Pitia katika mitandao ya kijamii utashuhudia maajabu
Mmmh! sema huna hela tu mtaalamu
Shida , na kufekisha maisha ,Kitu gani kinachosababisha matatizo ya afya ya akili?
Wenyewe wanaamini hivyo, wakienda huko mambo yanakaa fresh. Joh kwenye gere aliwachana "...mganga hana mashairi jomba ni bure kupiga ramli..."Wee kweli?!! Ndiomana ngoma inavuma mwezi kisha inapotea mazima [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemfanya mwenzio aumize macho kuzoom glass