Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?

Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.

Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.

Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.​
Kumbe waliishia kwenye wallet tu.

Wale huwa wanafikia hatua unauza hadi hiyo nguo iliyopauka
 
Tena kwa nyie mnaojua style za popo kanyea mbingu....

Mtapewa vitengo mpaka vya sirini humo. All the best usinisahsu sasa ukitoboa [emoji41][emoji6].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaa wee,
Nakusahaujee dogo langu sasa?? Utashangaa unapewa kitengo hata cheti wala miaka ya uzoefu huna.
 
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?

Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.

Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.

Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.​
Mapenzi kwa mwanaume ni liability mfano wa gari la kutembelea na kwa mwanamke ni asset
 
Back
Top Bottom