Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiriii kuitwa ankooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dogo lakeee.
Tena kwa nyie mnaojua style za popo kanyea mbingu....
Mtapewa vitengo mpaka vya sirini humo. All the best usinisahsu sasa ukitoboa [emoji41][emoji6].
Popo ananyeaje mbingu? Tema mate chini mbinguni ni mahala patakatifu hapanyewi
🤣🤣🤣🤣😊😊😊 Kwani uongo. Shem lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem umenishinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji4] Kwani uongo. Shem lake
[emoji38][emoji6] Fursa hizo inabidi azipambanie kwa hali na mali
Huo sio uzalendo; kwa hiyo unashauri nikiishiwa na utamu nisipewe?😀
Ebu niombee hili pepo la kutamani tamani linitoke 😀😀Ukiishiwa pesa kapewe utamu nyumbani kwako
Huko kwingine lazima ulipieeeeee. Vinginevyo kila piskali unayoitamani oa uhudumie na kuhudumiwa fulltime
Ahahaha af unanivalia mewani ahahahahaNakuona unakandamiza pila ya sikukuu hapo 😀😀
Andaeniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuandae beseni udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongezaaa sautiii uduguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeyapokea udugu yananukia vizuri!!
Mtoto wa mama mkwe kapata type yake inayomuelewa kwann asiwe na raha[emoji23][emoji23][emoji23]
Pata konyagi hapo dukani kwa jirani kwa hisani ya mfuko wakoAhahaha af unanivalia mewani ahahahaha
Mtoto mshezi sana wewe kwahiyi unataka kuniulia figo zangu na mainPata konyagi hapo dukani kwa jirani kwa hisani ya mfuko wako
Hutaki kwenda kwa baba wewe?Mtoto mshezi sana wewe kwahiyi unataka kuniulia figo zangu na main
Sio sasaiv mapema sanaHutaki kwenda kwa baba wewe?
Tshirt na jeans zipo?Njoo nikuuzie nguo mkuu upendeze
Wanasema kule ni kuzuri, hakuna shida kila kitu kinapatikana; au huwa tunadanganywa?Sio sasaiv mapema sana