Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja[emoji3] utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto[emoji51].
Endekeza uzinzi uje kuumwa hata pesa ya panadol uje ikosa

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 
Kwahio hadi sasa main hajui kama unabokoa beste, bado unakula zote? [emoji1787]
hahahaha mzee wangu napiga bestie lakini nipo na mainchick bado shida ni nikipiga move tu kwa main bestie anakuja nisimulia kilakitu ... So nimepunguza movement Kwa mainchick

Mainchick alichokosea ni kunipaisha sana, sasa bestie anataka vyote apewe yeye...maana nilikuwa namcare balaa yan hadi ped ntamnunulia plus bites hahahaha
 
Bila mtaji boss usingetoboa Kwa bestie
 
Depal nina swali kidogo naomba unisaidie.

Hivi jamaa kama umekubalia one month alfu akawa anataka mzigo
Like "Mimi hisia juu mambo yangu hayaendi nawewe haujali maumivu yangu ya mwili na roho, naomba game"

Is it okay? Man kwenda direct kuomba utamu Kwa situation hiyo...
Mimi umeshanikwaza
Subiri kwanza nivute hewa
 
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja[emoji3] utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto[emoji51].
@dronedrake

Mshauri mwenzio mkuuu [emoji23][emoji55]
 
Kwanini sasa unaharibu urafiki wao? Unadhani main akisikia atafanyaje?

Duh umenikwaza 😏😏
Mkipendwaga mnavimba sana 🤣🤣🤣 yale yale ya yule hoodrat aliopendwa na smart911 akavimba...

Mwishowe ooh siwezi kumtoa kichwani 😀😀😀! Msipende kuvimba mjue mna excess ya 1M kwa idadi. Ukipendwa pendeka, tuliaaa
 
Kwanini sasa unaharibu urafiki wao? Unadhani main akisikia atafanyaje?

Duh umenikwaza [emoji57][emoji57]
@Depal honestly sikuwa na sababu ya kuharibu friendship yao....

Nilimpenda sana mainchick.... Alafu kipindi naanza nae mianya ya pesa ilikuwa mingi so I used to surprise her na nilimpenda sana....kias kwamba hata akija ghetto basi atashinda na simu yangu (sikuwa na mchepuko hata mmoja)

pia ameishawahi tumiwa simu yangu like one whole week

Shida nilikuja gundua mainchick anadate na jamaa flan hv dereva.... kupitia bestie maana that time (mainchick) alinitesa sana na akachange...imagine namplease aniambie nakosea wapi kmya

Pia namplease kama mahitaji yameongezeka nimpe ngapi kimya...

Basi katika kupuuziwa bestie apo anajua yote... alipata shida flan hv akaniita kwake and we ended up dating cause aliona nilivyo na true love
 
Back
Top Bottom