Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio hadi sasa main hajui kama unabokoa beste, bado unakula zote? 🤣Hahahaha hawapendani kabisa....maana akati mainchick kasafiri kilasiku bestie alikuwa ananiita niende kwake maana wanaish same street....
ila ukiwaona picha za pamoja na wanapostiana status huwez dhani hahahahaha.