Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

hapana sio kumkomesha....mfano mimi kuonana na girl nikampenda ni ngumu na majukumu yanabana

Sasa katika maumivu yale ndio nikamuona bestie ake.... tena siku yenyewe mainchick alihitaji viatu nikamwambia mama naomba nikakununulie mimi then nije nikuone alikuwa kwa wazazi that day, akasema anaweza asitoke so nimpe bestie friend atanunua mm nisihangaike

Bestie friend nikamtumia and sasa akawa anashangaa y friend ake anafanya maujinga yale .. the day I and bestie met nilienjoy sana, she breath positivity.... Upstairs she is so great na alikuja na makanga na ndala (I like simplicity)

Nikaanza date nae 3 week later baada ya kutotafutana na mainchick but ghafla amerudi tena
Nitaandikia novel
 
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja[emoji3] utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto[emoji51].
Naendelea kutesa kwa kuwa mchoyo sana kuendekeza pussies nikiwekeza juu ya Afya yangu Kiroho na kimwili kwa mlo bora, maombi ya kutosha na mazoezi mengi maana nilishastuka kitambo sana kuwa "no money no honey" nimebakiza miezi michache nigonge miaka mitano bila ya kuchepuka zaidi ya kuwa na PISI KALI wangu tu (Mke) [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
hapana sio kumkomesha....mfano mimi kuonana na girl nikampenda ni ngumu na majukumu yanabana

Sasa katika maumivu yale ndio nikamuona bestie ake.... tena siku yenyewe mainchick alihitaji viatu nikamwambia mama naomba nikakununulie mimi then nije nikuone alikuwa kwa wazazi that day, akasema anaweza asitoke so nimpe bestie friend atanunua mm nisihangaike

Bestie friend nikamtumia and sasa akawa anashangaa y friend ake anafanya maujinga yale .. the day I and bestie met nilienjoy sana, she breath positivity.... Upstairs she is so great na alikuja na makanga na ndala (I like simplicity)

Nikaanza date nae 3 week later baada ya kutotafutana na mainchick but ghafla amerudi tena
Hahaha so u fall to bestie sbb ya usimple wake

Case yako ni kamzozo
Muhimu hapo main aliporudi usingempokea.
Ila kwakuwa ushafanya kosa,, usiku mwandikie sms ya kumchana ukweli. Af mwache afanye mwenyewe maamuzi
 
Mkipendwaga mnavimba sana 🤣🤣🤣 yale yale ya yule hoodrat aliopendwa na smart911 akavimba...

Mwishowe ooh siwezi kumtoa kichwani 😀😀😀! Msipende kuvimba mjue mna excess ya 1M kwa idadi. Ukipendwa pendeka, tuliaaa
vibinti vya humu vichawi baada ya kuona mwenzao anapendwa vikaanza kujirahisisha ili kuingilia mawimbi ya watu na jamaa kawagonga kweli na njaaa njaa zao
 
Fact mkuu....@Depal usinilaumu Sana ...na hiyo yote ni sababu mainchick aliona nampenda... Maana nilikuwa mtulivu kuna kipindi naumwa hoi lakini akiomba hela napiga simu anatumiwa, Hali akinihitaj anytime nipo free, outing na vngne vingi

but sisi introvert tunajaribu, nilijaribu mwaka mzima bila mafanikio ndio bestie akasogea kwangu
Mm najua Extrovert huo mda Hana umezingua anakushit
 
Hahaha so u fall to bestie sbb ya usimple wake

Case yako ni kamzozo
Muhimu hapo main aliporudi usingempokea.
Ila kwakuwa ushafanya kosa,, usiku mwandikie sms ya kumchana ukweli. Af mwache afanye mwenyewe maamuzi
Yes i like simplicity sana pia yupo real sana anaongea unamsoma kuwa hapa kuna mtu...

pia sikumpokea mainchick kwasababu anajua namkubali basi amejipa ownership kuwa anaweza ingia muda wowote....

I will try my best asante kwa ushauri...maana bestie anaona text na anasimuliwa na sipend mkwaza nitajitahidi.
 
Back
Top Bottom