Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
You prefer the man to ask for game...direct or indirect?Najibu shemeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You prefer the man to ask for game...direct or indirect?Najibu shemeji
Hauko pekeako mkuu😅😅😅Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe, ukijagundua utamu ni hisia wala si uhalisia ndiyomaana hata mpiga punyeto naye huhisi utamu utajilaumu sanaaa..[emoji23]Kila mtu atapata commission kulingana na utamu wa mbususu
only if ikiisha vizuri mkuu...
ila gharama za vizinga ni Noma ndo maana nimepunguza kuwasiliana na mainchick nipo na bestie....
Wanawake huwa mnashangaza sana, you think you can freak out and back kwa jamaa yako anaekujali na kukuthamini and he'll be okay with it?
Don’t go directlyDepal nina swali kidogo naomba unisaidie.
Hivi jamaa kama umekubalia one month alfu akawa anataka mzigo
Like "Mimi hisia juu mambo yangu hayaendi nawewe haujali maumivu yangu ya mwili na roho, naomba game"
Is it okay? Man kwenda direct kuomba utamu Kwa situation hiyo...
Hamjifunzi nyie maana mnapofeli ni pale pale, wanawake mna katabia fulani hivi kwamba alichonacho best yako unataka uwe nacho hata mara 10 yake, mwisho wa siku hiyo concept mnaaply mpaka kwa mashemeji.Fungukeni tujifunze
Hii inanitesa hadi dakika hii Depal but najua mainchick ni girl flan anapenda trend, kula hotelin , circle ya marafiki zake ukiachana na bestie sio nzuri...K
Wanini main adate na kadereva na Kila kitu tunampa
Thank you... But am fine siwezagi gombana I just let nature decide if it's a win lose or draw.Pole
Naelewa
Unasemaje mdogo wangu?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Halafu wanajifanya hawamjui muhusika wakati wali Jam signals!
Mnahangaika sana na hii dunia igeni mfano kwangu mpate kuneemeka Mazee.Twlw
Shida ya telegram oda unayo request vs post advertising ni mbili tofauti.
Unaoda chapati unaletewa mihogo.
Wazee wa codes wamenielewa.
ukiwa na a man...usimzoeshe hata kuwa na number ya rafiki yako....Fungukeni tujifunze
Wachawi kinoma, walimtubulia.. wale walikuwa wanapendana .. ila waja wanga, wakaone wajirahisishe awapasue ili wavuruge penzi.. yule mwanamke jamaa alikuwa kapata bahati ila next kaokota vitu vya ajabu ajabu 😅😅😅🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Halafu wanajifanya hawamjui muhusika wakati wali Jam signals!
[emoji2]Ni kweli..!! Maana kuna wengine wanapiga mzinga mmoja kwa mwaka, ila mzinga wenyewe sasa..!! Unainunua Kariakoo
Ayseee daaah...! Mbavu zangu miye [emoji28]Tuma nauli naja unalitumia dume lenzio.
ukiwa na a man...usimzoeshe hata kuwa na number ya rafiki yako....
Mda flan relationship inapitia scrumble blocks kibao, jitahidi kutopunguza mawasiliano, meeting na lugha nzuri zitumike...
Maana mda unajibu shit like you don't care...your man anamuuliza bestie ako kama unakosea mahalo na huko ndo anaenda jumla.
Anapenda trends kwani ye ni msanii? Anajitia usley asiokuwa nao au?Hii inanitesa hadi dakika hii Depal but najua mainchick ni girl flan anapenda trend, kula hotelin , circle ya marafiki zake ukiachana na bestie sio nzuri...
Kingine bestie, hapendi going out, hadi umvute, and anashukuru hata kwa kidogo anachopewa.
Story ni nyekunduuHii stori inabidi itolewe ufafanuzi